Uchaguzi 2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.

Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda maproffesa wenzake kuacha taaluma na kukimbilia teuzi lakini ilipofika zamu yake kuteuliwa siku ya kuapishwa alikuwa mtu wa kwanza kuingia ukumbini.

Lissu jiwekee akiba hii ahadi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Humjui Lissu wewe umemjulia chadema waulize walimu na wanafunzi wenzake tangu msingi mpaka chuo ,yule sio mwenzetu kabisa ana msimamo na haogopi njaa
Hata wewe TL humjui, unajua anayoyasema tu publicly lakini matendo yake ukiyajua yote utashangaa kwamba TL uliyekuwa naye shuleni na chuoni siye unayemzungumza sasa. Kila binadamu hubadilika, na madaliko ya kila binadamu sio lazima yaonekane hadhiri na kila mtu. Ana strength ya kutosha lakini pia anazo weaknesses za kutosha!
 
Hata wewe TL humjui, unajua anayoyasema tu publicly lakini matendo yake ukiyajua yote utashangaa kwamba TL uliyekuwa naye shuleni na chuoni siye unayemzungumza sasa. Kila binadamu hubadilika, na madaliko ya kila binadamu sio lazima yaonekane hadhiri na kila mtu. Ana strength ya kutosha lakini pia anazo weaknesses za kutosha!
Hakika bwashee..... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
 
Huu Uchaguzi ni wa ajabu duniani Tundu Lissu anashindana na wagombea uraisi 300 wakiongozwa na Diamond na Ali Kiba

Hao maraisi 300 wakifanikiwa kupenya sijui itakuwaje Hizo Ikulu zitakuwa za kuvutia Bange na Vinywaji mbalimbali harufu ya mbunye itatawala hadi maeneo ya jirani

Kila asubuhi matipa yatakuwa yanasomba condom zilizoshiba wazungu

Mabaunsa wa usalama wa taifa watakuwa bize kuwaamua maraisi haswa Raisi Harmonize atakapozichapa na Raisi Diamond Patinumz

Harufu za marinda kutatuliwa itazagaa hadi kwenye nyumba za Mabalozi mbalimbali

Kidumu chama cha CCM na style ya kipekee ya kutawala Nchi hii inayopokea Laana kwa miaka mitano sasa.
 
Back
Top Bottom