kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,628
- 5,133
Nimekuwepo tangu uchaguzi wa 1995 , nimejaribu Ku review chaguzi zote kuanzia hapo na zilizo fuatasijawahi kuona upuuzi unaofanywa na tume awamu hii wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani na kuwaacha wa chama tawala wapite un opposed.
Hapo kabla kulikuwepo matukio ya baadhi ya wagombea wa upinzani kujitoa na hivyo kupelekea mgombea anayebaki kupita bila kupingwa. Upuuzi wa saizi ati tume ndo inatupangia mpinzani yupi agombee na yupi akatwe na pengine yupi asitangazwe hata kama ameshinda hapo baadaye.
Sijui tunaelekea wapi, it is becoming worse each step ahead. Sijui mambo haya yatabadilika huyu jamaa akiondoka madarakani yaani mbele giza.