Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Kwanza nawashukuru wananchi na wasimamizi kwa namna moja au nyingine walioshiriki kuokoa fedha hizi. Nitakuwa mchoyo wa fadhira nisiposema asante
Halmashauri zilipokea fedha nyingi kwa ajiri ya uendeshaji wa uchaguzi, karibu halmashauri zote zimetumia nusu tu ya fedha zilizopelekwa, kwa sababu...
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa.
Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua.
Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;-
1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda...
Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali Serikali.
Sasa kama Serikali ndio yenye...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili.
Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa...
Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
Wapinzani wameona jinsi gani Rais MAGUFULI akipambana kuleta maendeleo ya kweli katika Nchi yetu ya Tanzania,Hata baadhi ya wapinzani wanamkubali sana Magufuli lakini kwa kuwa wao wameshaapa kuwa wapinzani hawana jinsi bali ni kuendelea kumwaga sumu kwa wananchi ili ionekane wao ndio watu...
Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini?
Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini.
Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
Wakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele.
Source Mwananchi
Wanabodi,
Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la
kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum kabisa.
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa...
Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.
Wasalaam,
Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani?
Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote?
Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
Kufuatia matukio yanayoonyesha mazingira ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyojitokeza siku ya kwanza ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo, siku ya Jumanne Oktoba 29, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika.
Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF
Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee.
Maendeleo hayana vyama!
Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama Kikuu cha Upinzani cha RENAMO kimeyakataa matokeo hayo, kikidai uchaguzi ulikuwa umegubikwa na...
CHADEMA itafanya nini:
Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. Hii ni pamoja na kujenga uwezo wa kuzalisha mataluma ya reli nchini.
Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya Taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.