uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

    Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu. Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
  3. Maboso

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA: Kuweka madini kama dhamana ya mikopo kunaleta ukakasi

    Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ateuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuwa mgombea Urais Zanzibar

    Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar. ===== ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
  5. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump: Tiktok haitaongezewa muda Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Ileje na Songwe tunaanza kushinda kwa mbinu, kabla ya kupiga kura

    ILEJE NA SONGWE TUMESHASHINDA KWA TECHNICALITIES, SASA TUNAENDA MOMBA........ Na Elius Ndabila Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, macho na masikio ya watanzania wote ni kuelekea OCTOBER 28 ni nani atashinda? Lakini wakati Watanzania wanajiandaa kujua ni nani wataibuka kidedea kwenye uchaguzi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  8. Gavana

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Uchaguzi Zanzibar

    MTAZAMO TU Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia ilokusudiwa hii wasahili husema *KIFO CHA NYANI* Tuangalie jinsi mipango ilivyosukwa miaka mtano nyuma...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR MAGEUZI: Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    1. ILANI YA CHAMA CHA NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM (NCCR-Mageuzi) ITAKAYOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 UTANGULIZI: Mabadiliko ndiyo kitu pekee kinachodumu, na hayaepukiki. Kasi ya mabadiliko ya leo yanatokana na teknolojia. Hivyo basi, kazi kubwa ya mwanadamu ni...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

    Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea. Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa. === Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali. Katika Jimbo la Muheza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uchaguzi ibadilishwe kuruhusu Wagombea kwenda Mahakamani kupinga maamuzi ya NEC na zaidi mchakato wa kupatikana Wagombea uanze mwaka mmoja

    Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwalimu Mwakasege awataka Watanzania kuibariki siku ya uchaguzi ili pasiwepo hila na udanganyifu

    Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote. Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku...
  13. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Mzee atoa darasa la kisheria juu ya kutokuwa na umuhimu kwa under 18 kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Uchaguzi Mkuu

    Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani msiwe wavivu, jiulizeni kwanini ZANU-PF, CCM na ANC bado zipo madarakani kuliko kusubiri kipindi cha Uchaguzi mnasema Ikulu asubuhi

    Jiulizeni kwanini Zambia Afrikan Neshino Konglesi kiliangushwa na wapinzani si malaika MCP. Malawi Konglesi Pati kiliangushwa na wapinzani na si malaika. KANU chama cha Jomo Kenyata pia kiliangushwa na wapinzani. Tuanzie Malawi, Bakili Muluzi wa Unaitedi Democratik Fronti alimtoa Kamuzu Banda...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

    Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola. Je, hawajiamini ushindani wa hoja? Je, wamefanya makosa mengi? Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana? Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani? Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura? Je...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

    Wapwa, Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa. Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia" Toa maoni
  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za kushindwa upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

    Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo: Tume ya Uchaguzi iweke hadharani majina ya Wagombea wetu waliokata rufaa

    TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IWEKE HADHARANI MAJINA YA WAGOMBEA WETU WALIOKATA RUFAA Chama cha ACT-Wazalendo kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iweke hadharani orodha ya majina ya wagombea wetu wote wa Ubunge na udiwani ambao walikata rufaa kwake. Hitaji hilo linatokana na taarifa ya...
Back
Top Bottom