Hiki ndicho wanachotakiwa kuhubiri Viongozi wa Dini kipindi cha Uchaguzi na si vinginevyo

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
  1. Mamlaka za uchaguzi ziweke mazingira sawa kwa wagombea woote bila kuegemee upande wowote.
  2. Vyombo vya dola visikubali kutumika kisiasa.
  3. Wagombea mtoe hoja na siyo lugha za matusi
  4. Tukumbuke amani ya Taifa letu ni muhimu sana" .
 
#1 pale kwa maana ya "haki" ndiyo msingi na inameza zote #2, 3, na 4.

Bila #1 sahau yote 2, 3 na 4.
 
#1 pale kwa maana ya "haki" ndiyo msingi na inameza zote #2, 3, na 4.

Bila #1 sahau yote 2, 3 na 4.
Nimekusoma mdau lakini tatizo baadhi ya vyombo au mamlaka zinajitoaga akili, wao neno HAKI lina maaana kwamba ukioonewa wewe nenda kashitaki subiri mahakama. Kwahiyo bila kuwakumbusha na kuwaambia waache kutumika hawawezi kuelewa.
 
Mfumo mzima wa utawala umevurugika. Mihimili haiko huru. Uhuru wetu umepokwa. Ndiyo maana ni kwa dharura mno tunahitaji mgombea:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Siyo siri kuwa wote wenye kuushabikia utawala huu na hali iliyopo ni kwa sababu tu wana maslahi binafsi ya moja kwa moja au ni wale wa teuzi watarajiwa.

Hayupo mmoja nje ya hao anayeweza shabikia utawala wa namna hii.

Believe me, hata 'jiwe' asiye rais wala mnufaika wa moja kwa moja wa status quo hawezi kukubaliana na upuuzi uliopo.

Si mimacho, supika, yule wa mutama au yule mwingine wa Lindi wanaoweza shabikia hizi pita pita bila kupingwa kama haziwanufaishi wao moja kwa moja.

Pemba wameonyesha njia. Treni la Sayuni limeshaanza safari.
 
Back
Top Bottom