ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hapa tu anagombea Udiwani anafanya 'Unyangindo' huu, huyu akigombea Ubunge si anaweza hata Kutoa 'Kafara' Wazazi wake?

    Mgombea wa nafasi ya udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Katambi Sospeter amejikuta katika wakati mgumu baada ya kudodosha kibuyu cha dawa za kienyeji alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa kupigia kura za maoni katika Shule ya Msingi Sungwizi. Tukio hilo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

    Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
  3. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 AAFP yawakaribisha wagombea wa Ubunge waliokosa nafasi vyama vingine

    Chama Cha Wakulima (AAFP) kimewataka wagombea waliokosa nafasi za ubunge na udiwani kwenye vyama vingine vya Siasa kijitokeza kuchukua fomu kupitia chama hicho kwani bado wanazo nafasi nyingi zilizo wazi Chama hicho pia kimemteua Seif Maalim Seif kuwa mgombea urais kwa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT

    Leo tarehe 20 Julai 2020, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii waliochukua fomu za kugombea ubunge kupitia vyama mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2020

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto wasanii nao hawakubaki nyuma kuignia kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kuwawakilisha wananchi kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Miongoni mwa waliojitokeza ni pamoja na: 1. Webiro Wassira maarufu kama Wakazi Huyu ni mwimbaji wa...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inakuwaje mtu anagombea Kiti cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?

    CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja? Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI 1. Jimbo Idadi ya Wapiga kura 125 Kura zilizoharibika 6...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kasi hii ya wagombea Ubunge wa CCM sidhani kama Mbatia na Mzee Cheyo wataachiwa majimbo ya upendeleo

    Kasi imekuwa ni kubwa mno na wagombea ni wengi kuliko ilivyotarajiwa kwa upande wa CCM. Ikumbukwe kuwa Mzee Cheyo aliomba mbele ya Mwenyekiti wa CCM kwamba waachiwe majimbo mawili au matatu. Kadhalika NCCR Mageuzi ilitegemewa kupata majimbo kadhaa kuwahifadhi wahamiaji kutoka CHADEMA. Lakini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Rungwe kwa tiketi ya CCM Enock Bwigane wa TBC amekanusha kupata ajali

    Mtangazaji wa michezo TBC ambaye anagombea ubunge jimbo la Rungwe mkoani Mbeya amekanusha taarifa zinazoenea kwamba amepata ajali mbaya. Bwigane amesema wakati ajali inatokea hakuwa ndani ya gari ila dereva amefariki. Source Swahili Times Rip dereva wa Bwigane. Maendeleo hayana vyama
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

    Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu kuacha kazi zao kukimbilia ubunge, tumeyataka wenyewe

    Kupanga ni kuchagua. Wote ni tumeshuhudia wateule, watumishi mbalimbali, wafanyabiashara viongozi was dini na hata wastaafu wakikimbilia fomu za kuwania ubunge. Hatujiulizi ni vipi mtu uache ukuu wa mkoa eti uka- beti ubunge? Kuna mahala tumefanya kosa Kazi ya ubunge, ya kuwatumikia wananchi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Walioacha nafasi zao za uteuzi kugombea Ubunge, wakishindwa wakakaa mitaani bila kazi, wanaweza kuwa mwiba kwa JPM

    Hawa jamaa bila shaka walitarajia kwamba watapewa likizo wakagombee, wakishindwa basi warudi kwenye nafasi zao za zamani. JPM ni chuma, ukitema nafasi yako leo, kesho anaweka mtu mwingine, ukishindwa huko ndio nimekula kwako unarudi kijiweni. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanajua mambo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

    Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu. Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito. Chanzo: Watetezi TV
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwachuja wagombea Ubunge maelfu waliotia nia kupitia CCM

    Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja. Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea 460 wajitokeza kuutaka ubunge Kagera kupitia CCM, milango yafungwa

    Wagombea 460 wajitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge Kagera zoezi la uchukuaji fomu lafungwa. ========= Mchakato wa kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ulianza tarehe 14/07/2020 na kumalizika 17/07/2020 saa kumi jioni. Katika mkoa wa Kagera wagombea 460...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  19. J

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kutia nia Ubunge

    Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa wote wana vibali vya kwenda kugombea nafasi za Ubunge kwenye Majimbo hayo

    Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka. Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana...
Back
Top Bottom