Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa.
Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Jimbo hilo la Kawe lilikuwa chini ya Mbunge aliyemaliza muda wake, Halima Mdee kutoka chama cha CHADEMA.
Aidha...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau
Makonda ana ushirikiano vizuri mno na polisi kawapa Hadi magari tofauti na huyo Simbachawene
Wizara ya ndani wadau wakubwa Ni Dini Makonda ana uhusiano vizuri na waislamu...
Baada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani.
Pia soma
> Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania
> Huyu Mpoki vipi...
Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na Mahakama ya Rufaa ambapo pia mshirika wake Christopher Bageni alihukumiwa kunyongwa hadi kufa...
Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni:
1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara
3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam
4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua.
Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
Wakuu kwema? Hivi mmejiuliza kama mimi huu utitiri wa kila anayejiona anafahamika na watu kutaka kua mbunge umetokana na nini? Waigizaji, waimba muziki, watangazaji na hata wadangaji maarufu nao wanataka kua wabunge. Je ni kweli wanautaka ubunge au wametumwa kwa malengo fulani fulani?
Ikiwa...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari Star TV Tanzania
Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la...
Muhsein Awadhi Said (Dkt. Cheni) Muigizaji Mkongwe na Mshereheshaji maarufu amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi.
Baada ya zoezi la kuchukua fomu hiyo Dkt. Cheni aliongea kwa kifupi na Waandshi wa habari kuwa yeye ni mzaliwa wa Ilala kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.