ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Tunduma: Wananchi wakimsindikiza Mwakajoka kuchukua fomu za Ubunge

    TUNDUMA MAMBO MOTO. Wanachama wa chadema na Wananchi jana wamemsindikiza mbunge wao Frank Mwakajoka Kuchukua Form ya Ubunge Jimbo hilo... #niyeye2020
  2. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

    Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu unajijua kabisa wewe ni Msimamizi wa Uchaguzi halafu unaomba kugombea ubunge, Hii si sawa!

    Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari. Niishie hapo!
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Ili kuepuka hujuma Fomu zote za wagombea ubunge na udiwani wa CHADEMA zipitie ofisi za kanda kuhakikiwa

    Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  6. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge & udiwani ACT Wazalendo na CHADEMA, wajaze fomu mbele ya wanasheria

    Wadau wote wa uchaguzi mkuu hasa vyama vya siasa CHADEMA na ACT Wazalendo tafadhali sana wakati wa kujaza fomu ni muhimu wakasaidiwa na wanasheria ili kupuka kuwekewa mapingamizi kwa makosa madogo madogo. Mfano katika uchaguzi mkuu uliopita kuna mgombea udiwani wa CHADEMA alienguliwa kwasababu...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hadhi ya Lissu ni sawa na wagombea ubunge, tusimlinganishe na Rais Magufuli

    Ndugu zangu, Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi; Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu ashinda kura za maoni CHADEMA kuwania Ubunge Singida Kaskazini

    .
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Kamati Kuu CHADEMA kumpitisha Alinanuswe Mwalwange kugombea Ubunge Kyela, wananchi walipuka kwa Shangwe, vifijo vyatawala

    Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia, Mwakyembe alikuja Kyela kuomba kura ama kuja kuzika ndugu zake na kujiondokea zake , akirudi tena basi labda kuna ziara ya Waziri Mkuu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Husna Mwambiko wa UVCCM aliyegombea Ubunge asema anaamini hajarogwa ila amepata ajali ya kisiasa

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa. Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM...
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT Wazalendo msiingiwe na tamaa fanyeni makubaliano ya Hekima, nafasi ya kushinda Urais Ubunge na Udiwani mnayo

    Nataka kuwashauri viongozi wakuu wa vyama hivi vya upinzani ambavyo vinaonekana kukikosesha usingizi chama chetu cha CCM upande wa bara na Visiwani.Msikosee hapa kwa tamaa za muda mfupi, kuweni na long term plans. URAIS Urais kwa Upande wa bara mwachieni Tundu Lisu wa CHADEMA agombee na...
  12. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini UVCCM wa leo mnaudharau sana Ubunge tofauti na enzi za akina Amina Chifupa?

    Nimefuatilia zoezi la kura za maoni za viti maalumu upande wa UVCCM nimechoka kabisa. Naipenda sana CCM lakini kiukweli UVCCM wa zama hizi wanafeli sana. Yaani wadada wote waliojazana CCM wenye elimu tofauti tofauti mnashindwa kupata wagombea makini hadi mnatuletea magarasa. Haishangazi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  16. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU kuweka wagombea wa Ubunge na Udiwani katika Majimbo na Kata zote Bara na Visiwani

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kinakusudia kuweka wagombea katika majimbo na kata zote Tanzania Bara na Visiwani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi oktoba 2020 (Mwaka huu). Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Majalio Paul Kyara amesema bado milango iko wazi kwa wanachama...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

    Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
  19. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

    Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp. Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 . ------ Aliyekuwa mtia...
Back
Top Bottom