Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee.
Ameandika katika akaunti yake ya...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;
Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Jimbo la Temeke
- Doris Kilave
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo la Babati Mjini
- Pauline Gekul
Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo
- Charles Kimei
Shinyanga
Jimbo la...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia Mwema, ukurasa wa 10, kwenye toleo la 12-18 August 2020. Makala yake ina kichwa cha maneno Kanisa...
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020.
Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
17 Agosti 2020
Bunda Mjini
Tanzania
ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.
Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.
Jacob...
CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana.
Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje?
Au mbunge anayepigwa mitama...
Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza kuhaha kutafuta msaada kwa baadhi ya vigogo ndani ya Ccm ili waweze kumnusuru na panga la kukatwa jina...
Wooote waliogombea ubunge uwe na sifuri au miaka kadhaa; kwanza hakuna mshahara wa Julai na Agosti bila kujali umerudi kazini tayari, bila kujali ulikuwa masomoni, ulikuwa likizo yako, nk. Najua walimu wako madarasani wakionesha uzalendo wao wa miaka yote kuisaidia CCM. Sasa lazima waandike...
Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu.
Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni.
Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.