Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,721
223,610
Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo

Matokeo ya Kura za Maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Hai. ( 667 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Jimbo la Hai wakiendelea kuwasili ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Jimbo la Hai wakiendelea kuwasili ( 480 X 640 ).jpg
 
Anawakati mgumu kutetea kiti chake. Nadhani wanaHai wananoelewa. Angebaki kuwa mwenyekiti aimarishe chama chake.
Anyway, tukutane oktoba
 
Back
Top Bottom