ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya siasa msiteue wabunge waliokaa miaka kumi au zaidi bungeni kugombea ubunge

    Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: NEC iwapime akili wagombea ubunge wa upinzani kabla haijawapitisha ili kupunguza chaguzi ndogo baadae!

    Kiukweli katika mabunge yote kuanzia lile la Sapi hili la Ndugai ndio limetutia hasara sana kama taifa. Pamekuwepo na utitiri wa chaguzi amnazo tulirudia kuchagua wabunge wale wale tuliowachagua 2015. Kama taifa tumeingia hasara japo husemwa Demokrasia ina gharama zake lakini siyo kama hizi za...
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bashiri Ally mwenyekiti CUF wilaya ya Ubungo atia nia kugombea ubunge jimbo la Handeni Vijijini

    Mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo CUF Bashiri Ally Atia nia ya Kugombea Ubunge Jimbo La HANDENI VIJIJINI katika Uchaguzi
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

    Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!! Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeraha la kisiasa ( political casuality) la Prof. Kitila Mkumbo kwenye kuwania Ubunge

    Joto la harakati za kupata ubunge limezidi kupamba moto miongoni mwa watia nia wa chama tawala pamoja na vyama vya upinzani. Ni sarakasi , vitimbi na mnyukano vinaendelea huko majimboni. Hapa nataka nizungumzie jimbo la Iramba Magharibi ambalo lipo chini ya Dr Mwigulu kupitia chama Cha...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata mwaka huu 2020 CHADEMA, ACT et al hawana wagombea ubunge, udiwani nchi nzima watakuwa baadhi ya maeneo, kuambulia wabunge kiduchu

    Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema na ACT Wazalendo njia panda wagombea ubunge wao wengi wanatoka mkoa mmoja tu

    Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi. Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba. Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

    Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema. Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe. Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 lakini bado inachukua wapinzani na kuwapa ubunge, shida ni nini?

    Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa. Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla tafadhali Jumamosi tuletee wataalamu wa sheria tujadili "Uhalali" wa ubunge wa Cecil Mwambe na Nimrod Mkono

    Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari. Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

    TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ULIOFANYWA NA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ndugu Waandishi wa Habari, Awali ya yote niwashukuru na kuwapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya hasa wakati huu ambapo dunia inaendelea kupambana na janga la...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

    SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Amesema amepewa nakala ya hukumu kutoka Mahakama Kuu iliyotupilia mbali rufaa yake namba 42 ya mwaka 2019...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa haijulikani Corona itaisha lini, napendekeza CHADEMA wasiweke mgombea hata mmoja kwenye ubunge na udiwani ili kujikinga

    Binafsi nawapongeza sana Chadema kwa uoga waliouonesha wa hali ya juu sana, yaani wao wamejiona bora sana kuliko wananchi tuliowachagua na kuwatuma Bungeni wakatutetee katika hali zote. Uamuzi walioufanya nimeupongeza kuwa hawa jamaa wamedhihirisha kuwa tulikosea kuwachagua. Wametukimbia wakati...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM kufyeka wanaotumia Corona kusaka Ubunge

    CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge. CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi. Source: Rai
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

    Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza. Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Baada ya kukaa Karantini kwa siku 28 nimepona kabisa Corona na nitagombea ubunge kupitia CCM mwaka huu

    Mwanamuziki namba 1 wa kizazi kipya MwanaFA ametoka hadharani na kusema ni kweli aliumwa Corona na kwamba amepona kabisa. Anasema sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo ambalo atalitangaza wakati chama kitakaporuhusu wagombea kutangaza nia zao...
  20. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje. Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri...
Back
Top Bottom