Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu ashinda kura za maoni CHADEMA kuwania Ubunge Singida Kaskazini

20200810_190442.jpeg
 
Hajakatwa! Zilipigwa kura, basi akapata kidogo au vipi amu ? Nieleweshe, naona umeweka super market!
Hapo palikuwa njia panda ya Moshi. Nilikuta mabus mawili yamepimpiwa NYALANDU 2020 mgombea wa urais CHADEMA.Kipindi hiko Lissu alikuwa hajarudi.
Nilipiga picha hiyo lakini haikutoka sawa.
 
“Matokeo ya kura za maoni Singida Kaskazini, Kura zilizopigwa 229, kura halali 228, kura iliyoharibika 1, David Jumbe amepata kura 31 (13.53%) na Lazaro Nyalandu amepata kura 197 (86.02%), TUSONGE MBELE”-Miilard Ayo on twitter. -
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom