ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR-Mageuzi tuna wagombea Ubunge zaidi ya 103

    Siku chache zikiwa zimebaki kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020, minong'ong'o mingi imekuwa ikijitokeza hasa kuhusiana na idadi ya wagombea wa Ubunge kupitia chama chetu. ukweli ni kuwa kimya kingi kina mshindo, mpaka sasa chama chetu kina zaidi ya wagombea Ubunge 103. licha ya kuwa na...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

    Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote.
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania NEC imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis kuwa mgombea wa Ubunge Chakechake

    HABARI Tume ya taifa ya uchaguzi imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed shamis kuwa mgombea Ubunge jimbo la Chakechake Pemba.
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

    Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo awasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa, atinga 'kininja' kukwepa maafisa uhamiaji

    Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  10. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama watatu wa CHADEMA kwa kughushi barua za chama cha SAU ili wachukue fomu za Ubunge!

    Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu. ------ Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

    Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA. Habari zilianza kuenea mitandaoni mapema asubhuhi kuwa Mgombea wa CHADEMA jimboni...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

    Mgombea Ubunge jimbo la Mufundi kwa tiketi ya CHADEMA, Titho Emmanuel Kitalika ametekwa na watu wasiojulikana wakati akiwa njiani kwa ajili kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo hilo. Amepigiwa simu akasikika akipiga kelele akilalamika wananiteka.
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

    Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi. Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Kilimanjaro walalamika kupewa fomu bandia na Tume ya Uchaguzi kwa Wagombea Ubunge

    Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi. Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki. Chanzo: ITV habari My take: Nilisema Membe ameenda kuhakiki fomu ni jambo jema Maendeleo hayana vyama
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  17. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ukisoma 1 Timotheo 3: 1-10 utagundua kuwa kwa kugombea ubunge Dkt. Gwajima amepoteza sifa za uaskofu

    Hapa naongea kiimani zaidi na siyo kichama. Sifa kuu ya mtu atamaniye kuwa askofu ni lazima awe na KIASI. Kadhalika anapaswa kuwa ni mtu mpole, muafilifu, mwenye upendo, mwenye nidhamu, mume wa mke mmoja na asiyekuwa wa kulaumiwa. Haya yote yameelexwa katika kitabu cha Timotheo wa kwanza, sura...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya anatufafanulia sababu ya watu kuutaka ubunge kwa hali na mali

  20. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Chadema Jimbo la Bukene atishiwa kutekwa na kunyang'anywa Fomu

    Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Bukene Lumola Stephen Kahumbi amepokea taarifa za vitisho vya kutekwa na kunyang'anywa Fomu za Uteuzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Katika taarifa yake kwa Umma Lumola amesema tayari ameshawasilisha taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi ili zifanyiwe kazi. Lumola...
Back
Top Bottom