Kwanini UVCCM wa leo mnaudharau sana Ubunge tofauti na enzi za akina Amina Chifupa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,746
141,612
Nimefuatilia zoezi la kura za maoni za viti maalumu upande wa UVCCM nimechoka kabisa.

Naipenda sana CCM lakini kiukweli UVCCM wa zama hizi wanafeli sana. Yaani wadada wote waliojazana CCM wenye elimu tofauti tofauti mnashindwa kupata wagombea makini hadi mnatuletea magarasa.

Haishangazi kuwaona wakifika bungeni wanaishia kuolewa na akina zito.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
 
hahahaha, just hahahaha...

CCM imeleta madhara makubwa sana kwenye jamii..
 
Sasa kwa taarifa yako hata huyo Chifupa alikua na kashfa ya kuliwa na huyo huyo usiyemtaka na tena akiwa mke wa mtu, itakua haukuwepo unataka kudanganya watoto wenzio
 
Sasa kwa taarifa yako hata huyo Chifupa alikua na kashfa ya kuliwa na huyo huyo usiyemtaka na tena akiwa mke wa mtu, itakua haukuwepo unataka kudanganya watoto wenzio
Hahahaaaa....... Meddy angeoa huyo nyepesi!
 
Back
Top Bottom