ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

    1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea 2. Kisha amrisha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko 3. Kwa kila...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Padri Soka aliyedaiwa kubaka Watoto ashinda kesi 3 za Ubakaji, sasa yupo huru rasmi

    Padri Sosthenes Soka (42) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, sasa yuko huru, baada ya kupangua kesi zote tatu za ubakaji zilizokuwa zikimkabili mbele ya mahakimu watatu tofauti katika Mahakama ya Hakimu Mkazi na Wilaya ya Moshi. Hii ni baada ya kuachiwa huru leo Septemba 29, 2023 katika kesi ya...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa Miaka 30 Jela kwa ubakaji aachiwa huru

    Aliyedaiwa kumbaka mwanamke wa miaka 58 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, Joseph Mathias amefutiwa hatia na kifungo hicho baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora kubaini hati ya mashitaka ilikuwa na kasoro. Licha ya Mathias kutumikia kifungo cha miaka minane jela, aliachiwa huru jana...
  8. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

    Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF. Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume anatafuta burdani. Ushahidi unaotolewa, hakukuwa na mambo ya vileleni kwa wana wa kike enzi za...
  9. swalehe de wise

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la ubakaji kwa wanawake

    Ubakaji ni hali ya mwanaume kumuingilia mwanamke Kwa kutumia uume wake na kuweza kuupenyeza katika uke bila ridhaa ya mwanamke. Sheria za nchi pamoja na za kimataifa zinapinga na zinakataza hii hali ya ubakaji kwani ni kinyume na haki za binadamu. Sababu zifuatazo husababisha wanawake...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
  11. Glenn

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ubakaji unaendelea?

    Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe vizuri ukinyimwa tafuta mwingine. Wengine wanafikia hatuna ya kubaka watoto wadogo au vizee, hii ni...
  13. toplemon

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama...
  14. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Zanka, kata ndogo iliyokithiri vitendo vya mauaji, ubakaji

    Bahi. Kata ya Zanka wilayani Bahi, imegubikwa na matukio ya mauaji na ubakaji, huku wananchi wakilalamika hatua stahiki kutochukuliwa na mamlaka husika. Zanka ni kata ya siku nyingi inayoundwa na vijiji vya Zanka, Mayamaya na Mkondai, ikiwa na vitongoji sita vya Zamahero, Halo, Lulunde...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Songwe: Baba atuhumiwa kumbaka mtoto wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15. RPC wa Songwe, Theopista Mallya amesema Baba huyo alitaka kufanya tukio hilo usiku wa manane ambapo aliingia kwenye chumba anacholala Mtoto huyo...
  16. blogger

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Habari za Ulawiti na Ubakaji ziache kurushwa kwenye vyombo vya habari

    Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha. Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia. Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Viongozi wa Serikali na Jeshi wanahusika na Mauaji, Ubakaji

    Ripoti ya Wataalamu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) imebaini baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Sudan Kusini wamekuwa wakifanya Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Raia ikiwemo Kushambulia, Kujeruhi, Kuua na Ubakaji. Pia, Ripoti imesema Serikali haijaonesha kuweka uzito katika kudhibiti...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

    Muhtasari: Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo. Habari Kamili: Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

    Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37. Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na...
Back
Top Bottom