Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF.

Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume anatafuta burdani.
Ushahidi unaotolewa, hakukuwa na mambo ya vileleni kwa wana wa kike enzi za mababu, pia hii ndio sababu ya wanawake wengi wako sokoni bila kujali wanafikishwa au la kikubwa apate pesa. Na hawalalamiki.

Kundi la pili ni, makosa kabisa mwanaume kufika kileleni kabla ya mwanamke. Huu ni ubakaji, wizi wa hisia na ukatili na umafia wa mahaba.
Bora uhakikishe anafika kwa njia yoyote ile hata kabla ya jamiikana.

Nini maoni yako au ya kitaaluma katika hili.
 
Sasa na ww mwanaume unapata wapi amani ya ndoa au mahusiano unapojua mkeo au mwenzi wako haumsigui ki sawa sawa? Utimamu wa mwanaume unaanzia hapo kama utafeli hili jua hata kama kuna mengi na mapangapi una faulu ujue hii ndio tiketi ya kuanza kufeli kwa Kila kitu... Utajiri... Hata kama yeye anavumulia unazani atavumilia mpka lini? Na ww hata kama unajitoa ufahamu eti haujali jua akili Yako haitokaa itulie hata mara Moja
 
Back
Top Bottom