ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    TAWLA yapendekeza Ubakaji utambulike kuwa Kosa la Jinai kwa Wanandoa

    Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia kimependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa. #TAWLA imesema pendekezo hilo linafuatia ongezeko la...
  2. BARD AI

    Trey Songz adai kesi ya Kubaka inayomkabili ni ya uongo

    Msanii Trey Songz anayekabiliwa na kesi ya madai ya Ubakaji, ameandika kupitia Insta Stories akisema "Uongo hautakuwa ukweli kamwe. Haijalishi nani anachagua kuamini hivyo", ikielezwa ni majibu ya tuhuma hizo dhidi ya mwanamke aitwaye Jane Doe. Katika kesi hiyo, Jane amedai kuwa Trey alimwalika...
  3. BigTall

    DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

    Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
  4. Mukulu wa Bakulu

    Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
  5. T

    Njombe: Katekista wa Kanisa Katoliki apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka

    Njombe, katekista wa kanisa katoliki apandishwa kizimbani kwa kumbaka binti wa miaka 17 nyuma ya jengo la kanisa. ======= Simon Njavike (43) ambaye ni Katekista wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Mlangali Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo...
  6. BARD AI

    Benjamin Mendy akutwa hana hatia ya makosa 6 ya ubakaji

    Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia ya makosa sita ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya wasichana wanne. Mahakama ilishindwa kufikia uamuzi juu ya shtaka moja la ubakaji na moja la jaribio la ubakaji na kesi itasikilizwa tena. Majaji katika Mahakama...
  7. Suley2019

    Mbeya kinara wa matukio ya ubakaji na ukatili wa kijinsia

    Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amesema visa vya ubakaji vimekua kinara katika matukio yaliyo ripotiwa ya ukatili wa kijinsia Mkoani Mbeya. Homera ametoa takwimu hizo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo amesema Kwa...
  8. JanguKamaJangu

    Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  9. Mowwo

    Mason Greenwood akikuka masharti ya dhamana, akutwa na mashtaka ya jaribio la ubakaji

    Mnamo tarehe(leo) 15 Oktoba 2022, Greenwood alikamatwa kwa madai ya kukiuka masharti yake ya dhamana. Siku hiyo hiyo, alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kujihusisha na tabia ya kudhibiti na kulazimisha, na shambulio lililosababisha madhara halisi ya mwili. Kesi yake itaanza kusikilizwa tar 17 Oct...
  10. JanguKamaJangu

    Moshi: Padri Soka asomewa maelezo ya awali shutuma ya ubakaji

    Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro leo Oktoba 10,2022 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusomewa maelezo ya awali Katika shitaka linalomkabili la kubaka mtoto wa miaka 12. September 26...
  11. M

    Wawili wafikishwa Mahakamani kwa ubakaji mwanafunzi

    Wanaume wawili wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mwanafunzi wa darasa la nne na wa kidato cha pili. Washtakiwa hao Mathias Mkokoteni (43), mkazi wa Kata ya Mpwapwa Mjini, Mtaa wa Igovu, anadaiwa kubaka na kulawiti mtoto wa...
  12. Black Butterfly

    Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  13. Sildenafil Citrate

    Bibi wa miaka 67 asimulia alivyosifiwa kuwa na mapaja mazuri kisha kubakwa

    Kijana mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa kijiji cha Mwika wilaya ya Moshi, Stanley Urio aliyemsifia bibi wa miaka 67 kuwa ana mapaja mazuri kabla ya kumpiga mtama na kumbaka, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 30, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu...
  14. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  15. Roving Journalist

    Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

    Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17. Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto...
  16. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  17. Suley2019

    Njombe: Aliyebaka mtoto wake kisa utajiri ahukumiwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemuhukumu miaka 30 jela Mwanaume aitwae Joseph Mwajombe (33) Mkazi wa kijiji cha Lulanzi, kwa kosa la kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka 15. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo James Mhoni amesema Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Agosti 7...
  18. nyambaterito

    Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

    Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi. 1. Nani...
  19. BARD AI

    Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

    Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
Back
Top Bottom