ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    LGE2024 ANGALIZO: Yamepangwa matukio kutuondoa tusijadili UBAKAJI wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika. Tusitoke relini wakuu Tuendelee...
  2. Uwesutanzania

    Ifikie kipindi sheria za nchi yetu iwe na madaraja ya kesi za ubakaji

    Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada, Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika., Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake. Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
  3. sonofobia

    Bukoba: Mwalimu wa dini ambaye pia ni Daktari wa Viongo akamatwa kwa tuhuma za kubaka watoto

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba mjini kwa tuhuma za kubaka watoto. Mtuhumiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Oktoba 19 mwaka huu saa saba...
  4. Torra Siabba

    DOKEZO Responded Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  5. Cute Wife

    Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa, hatokabiliwa na shtaka lolote dhidi yake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari mbalimbali ikiwemo kutofuata taratibu za kisheria. Uamuzi huu wa Mahakama uliotolewa siku ya Ijumaa...
  6. babukijana

    Mbape kwenye kesi ya ubakaji Stockholm

    Mbappe kaenda zake kula bata,na team nzima washauri,walinzi,madoctor atabaka saa ngapi? Akimtaka binti yoyote yule in didy style hamna atae mzuia.
  7. Waufukweni

    Madeleka aitupia lawama mahakama kesi ya Afande Fatma Kigondo anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu ubakaji wa "Binti wa Yombo"

    Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam. Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
  8. GENTAMYCINE

    Ulevi wa Kupindukia, Ubakaji na Ulawiti ni Janga Kubwa kwa sasa Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti. Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo. Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
  9. O

    Mzee wa miaka 50 ajinyonga baada ya kufumaniwa akimbaka mjukuu

    Wakuu, Nini kifanyike mbona haya mambo yanazidi sana? Ni kwamba wanaume tumezidiwa sana na ugwadu au ni madomo zege sana hatuwezi kutongoza siku hizi? Au shida ni nini? Au ushirikina! ---- Olomi inadaiwa kabla ya kujiua, mke wake alimfumania akimbaka mjukuu wake, hivyo alipiga yowe kuomba...
  10. BARD AI

    Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
  11. Vichekesho

    Hashim Rungwe: Afande Theopisha Mallya ndiye aliyewatuma vijana kufanya ubakaji

    Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji. Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma...
  12. W

    Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
  13. Erythrocyte

    Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

    Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili. Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa...
  14. Cute Wife

    Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

    Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja akifanyiwa vitendo vya ukatili. Uchunguzi uliofanyika hadi sasa umefanikisha kumpata binti...
  15. M

    Mtende haki, Mficha ukweli

    Swala Surah An-Nisa (4:58): "Hakika Mwenyezi Mungu anawaamrisha mtende haki, na kuweka usawa na kuwa na uwajibikaji katika mambo yote. Na kuwa na uaminifu kwa wale walio na dhamana, na kutenda kwa haki kati ya watu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda walio na haki." Surah Al-Baqarah (2:81)...
  16. SankaraBoukaka

    Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

    Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vurugu za kimwili, unyanyasaji, kulazimisha, au aina nyingine yoyote ya ukatili ambao unakiuka...
  17. Replica

    Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

    Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
  18. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  19. T

    Mkasa wa Majonzi: Je, ni mila zitakuwa zimesababisha huyu binti kujiua?

    Jamii, mkasa huu ni wa kusikitisha Sana. Jana majira ya saa 1 kasoro jioni kitongojini kulitolewa tangazo la bint mwenye umri Mimi nakisia ni Kama miaka 14 kuwa amepotea toka majira ya mchana alienda kutafuta kuni Hadi majira hayo ya jioni hajaonekana. Ilipofika majira Kama saa 2 usiku huo...
  20. Kaka yake shetani

    Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
Back
Top Bottom