uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  2. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa. Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
  4. comte

    JamiiForums Tanzania Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua uamuzi wa Rais Samia kumstaafisha Afisa wa PSSSF

    Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake. Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

    Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini matumizi ya Condom hubaki kwa mwanaume ndiye mwenye uamuzi?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k.. Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

    Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji. Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki. Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Denmark yatangaza kuendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Ilipanga kuufunga ifikapo 2024

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024 Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania. --...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

    Yamemkuta jamaa huko mtaani. Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo. Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
  16. Namora

    JamiiForums Tanzania Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

    Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa. Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana...
  17. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Kurasimisha makazi eneo la machimbo ya mchanga, Kunduchi(mashimoni) ulikuwa uamuzi sahihi?

    Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi. Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023 ---- UPDATE---- Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

    Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji. Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari...
Back
Top Bottom