Mahakama yatengua uamuzi wa Rais Samia kumstaafisha Afisa wa PSSSF

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake.

Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.

1707506148044.png
 
mahakama hivi hipo kweli na ili wanasheria wa serikali wameshindwa kesi ?.aisee kumbe unaweza kuishtaki serikali mahakama za dunia ukashinda kwa serikali hii
 
Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake.

Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.

View attachment 2899036
Hii ni bongo muvi tu, hapo tunachezewa tu, itakstwa rufaa,samia atashinda, huyo mwamba ajipange tu na maisha ya kitaa
 
Baada ya dakika mia na ishirini za kutafuta mshindi wa mpira wa miguu - inafuta ule utaratibu wa kupiga mpira wakati golikipa akiwa peke yake! "kwa Kiswahili sanifu inaitwa je vile?"
 
Drama tu za kufufua hadhi ya mahakama
Hakuna drama hapo. Hii ni hali halisi. Pamoja na madhaifu ya Kitwana, lakini inaonekana Rais alikurupuka kumstaafisha kwa manufaa ya umma. Kuna kesi hata majaji wenyewe wanaona aibu kupindisha.

Kumbuka Kitwana ni mwanasheria, alikuwa anashikilia kuwa aliomba ruhusu kuwa mkuu wa wilaya na baada ya kutengeliwa aliandika barua ya kurudi kwenye nafasi yake, na raisi akamstaafisha kwa manufaa ya umma.

Hapo kwenye kumstaafisha lazima iwepo sababi mfano ugonjwa wa muda mrefu unaopelekea mtu kushindwa kufanya kazi, ugonjwa wa akili nk. Sasa inaonekana Kitwana alikuwa anawabana wampe sababu za kustaafishwa kwa manufaa ya umma, mwisho wa siku utumishi wameshindwa!
 
Mh Kikwete aliwahi kupewa taarifa sio sahihi kuhusu mfanyakazi mmoja wa Iringa alimstaafisha kwa maslahi ya Umma ila baadae alikiri kuwa ilikua makosa nadhani yule Mwalimu alikuja kulipwa maana Mh alijutia lile kosa kabisa ...
 
Back
Top Bottom