uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Waziri Mkuu wa Kutogombea Ulitabiriwa Kikamilifu Mwezi April 2024

    Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu. Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Israel kuivamia Iran, imefanya uamuzi wa kijinga

    Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete. Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tulia na CCM kama mna busara na hamjajisahau sana mnapaswa kujiuliza kwa nini Watanzania wanafurahia uamuzi wa Mahakama juu ya kuwashitaki viongozi

    Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa. Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana. Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unagundua hasara/faida baada ya kufanya uamuzi?

    Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu. 1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya kufanya uamuzi.... Hawa ni watu ambao wanapata majibu ya uamuzi kabla ya kufanya uamuzi. Kwa mfano...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  9. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

    Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tumechakatana kwa miaka miwili mfululizo kumbe hajui hataJina langu,nimechukua uamuzi wa kumuacha

    Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza... Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
  12. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Hakuna Uamuzi Mbaya Katika Fedha.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Watu wengi huogopa kufanya maamuzi ya kifedha kwa sababu wana hofu ya "kufanya makosa." Lakini ukweli ni huu: hakuna uamuzi mbaya katika fedha, kama umejifunza kutoka kwenye uamuzi huo. Kila hatua unayochukua kifedha—iwe umewekeza sehemu isiyoleta faida...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tume ya Usuluhisi na Uamuzi (CMA) - Ushauri

    Serikali ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kusimamia mashauri yanayohusiana na ajira iliunda sheria ya ajira na mahusiano kazini pamoja na kanuni na miongozo yake kwa lengo la kuhakikisha mashauri hayachukui muda mrefu kushughulikiwa na Tume kwa sababu yanauhusiano wa karibu na ajira na...
  15. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

    Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
  20. mkuruga

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
Back
Top Bottom