uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, Uamuzi wa majaji unashawishiwa na vilio vya ndugu au marafiki?

    Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria. linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi. Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani? Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
  2. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  3. curie

    JamiiForums Tanzania Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

    Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote. Heko chadema.
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

    Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Tundu Lissu kutolewa Septemba 15, 2025

    ================ Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu...
  10. Judister Gabriel Mlawa

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kukimbia pia ni USHAJAA. Chadema kukimbia uchaguzi ilifanya uamuzi sahihi

    Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita. Kwa hiki...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi mechi ya kenya vs Madagascar kurudiwa uamuzi wa shirikisho la soka Afrika

    Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF. The body will release the same Next Week. CAF DECISION STATEMENT Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba. Uimara...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

    Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025. Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mlione hili na kulitolea uamuzi wa busara, Mchakato wa kuchuja watia nia Ubunge na Udiwani

    Wananchama wengi wa CCM wametia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge. Moja ya sharti lililowekwa na CCM ni kuwa watia nia wote kwa nafasi za Udiwani na Ubunge kwanza watachujwa na Kamati za Wilaya na Mikoa na hatimaye majina yote kupelekwa Makao Makuu ya CCM - Dodoma kila mmoja akipewa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
Back
Top Bottom