Wanabodi,
Huu ni wito kwa Watanzania tujifunze kuwa ni watu wa shukrani, tuwe na shukrani kwa kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Je tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Japo tulitaka kikubwa, Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, tumepewa kiduchu tuu!, je tukipokee...
'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari
Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken)
HISTORIA YAKE..
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.
Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.
Akiwa na miaka 20...
Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani.
Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria...
Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani?
Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
Mwananchi.
Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web.
Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia mheshimiwa Rais wetu mpendwa kuwapa Ari ya kufanya vizuri.
Tumejionea hujuma zilizofanywa na wachezaji...
Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa wale wenye uhitaji zaidi na hawana mtu wa kuwasemea changamoto zao...
Kama YUSUFU alimlea YESU,
Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.
Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.
Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani.
Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu.
NIKO PALE NIMEKAA...
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa
Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi!
Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu.
Natanguliza shukrani zangu
Juzi nimesikitika mnoo. Koloz wameolewa lakini kiunaume, mnajidanganya wazee kuolewa kuolewa tu. Hongereni pia kuiwakilisha Afrika Mashariki ma kati na kwa hatua ile mliyofikia Kyle Moroko. Nina hakika hata hili la NbC hapa kwetu mtalisikia kwenye Bomba.
Leo nina machache sana ya kushea, Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.