tujifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwa mfano wa Sauli na Daudi; Watanzania tujifunze kuwa na shukrani. Mlichoomba ndicho mlichopata

    Mlisema Magufuli ni dictator, mpaka mwenyezi Mungu alipomtambulisha dictator wa kweli! Sasa ni full kilio na kumuuliza Mungu kuwa tulimkosea nini. Mungu alitupa Sauli nae akajawa na kiburi; Mungu akamuondoa baada ya watu wa taifa lake Kuomba kubadilishiwa kiongozi. Now tupo na Daudi ambaye...
  2. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

    Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola. Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu. Mkataba Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  5. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Sister Theodore na Watoto tujifunze kupitia Mathayo 7:9-11

    Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba 9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akiomba samaki, atampa nyoka? 11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu...
  8. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Africa tujifunze kucheza na fursa kupitia hii adhabu walopewa china na trump

    Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi. Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。 Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
  10. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutoka Katika picha hizi zenye mafumbo

    Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia. Picha ya pili hapa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  12. snipa

    JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  13. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Kutoka kwa Mafarao

    Habari za jukumu wakuu Ili nisiwachoshe naomba niandike kwa ufupi, hiki ambacho nimeona ni vyema kuwashirikisha Kiasili asilimia 96% ya nchi ya Misri ni jangwa hali inayopelekea Misri kukumbwa na changamoto za kimazingira kama vile upungufu wa maji, ukame, joto kupita kiasi na changamoto...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

    Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume. ************************ Muhimu sana kuzingatia Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Habari wakuu. Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance). Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis. Sasa tukienda gereji...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama...
  18. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    1: Hello humans. My name is Benzie. Mercedes Benz. Iam six months old. Iam a girl. Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼. Lengo la kujiunga hapa JF ni; 1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu siyo salama, Tujifunze mbinu za kujikinga na watekaji

    Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
Back
Top Bottom