African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 779
- 1,354
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web.
Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili tuweze kunufaika wote. Nakaribisha wajuzi wa Flutter, wanaoanza kujifunza flutter na wapenda tech wote tukutane hapa tubadilishane vitu viwili vitatu.
LET'S GO!