tra

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji...
  2. K

    JamiiForums Tanzania TRA na kodi zisizolipika wafungue maduka darasa ya kodi

    Wadau wafanyabiashara leo nilikuwa Ofisi za TRA mkoa flani kwaajili ya kufunga biashara kutokana na kodi kuwa kubwa na gharama za uendeshaji kuwa kubwa nilijaribu kuongea nao naona wako mbali na hali halisi. Nilifikia hata kuwaambia hizi tafiti wanazofanya ili kupanga kodi hazina uharisia...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    Bodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote. ---- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania TRA yapunguza kodi kuondoa magendo ya Vitenge

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepunguza kodi katika vitenge vinavyoingizwa nchini ili kutoa unafuu kwa wafanyabiashara. Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano kutoka TRA, Richard Kayombo alisema hayo wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alipotembelea mamlaka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
  7. D

    JamiiForums Tanzania TRA na Taxpayer Portal

    TRA recently wame-update system yao, sasa kuna kitu kinaitwa Taxpayer Portal. Ni jambo jema ila limekuja na machungu yake. Ni jambo jema sababu sasa unaweza submit tax audits, fanya VAT returns, SDL, PAYE, etc bila kufika ofisi ya TRA, unaweza assign tax consultant na wewe ukawa unaangalia tu...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

    Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga. Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutoka ghorofa ya pili ya Hoteli ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Interview ya TRA ni lini?

    Wadau interview ya TRA lini? kwa tangazo la ajira lililotanganzwa June 2023:mad:
  10. binkiko2

    JamiiForums Tanzania TRA

    ENDAPO MTU AMEFUNGA BIASHARA MASHINE YA EFD ANAIPELEKA WAPI
  11. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa Polisi na TRA kuhusu kutoa mizigo bandarini

    HOJA na MALALAMIKO kwa POLICE na TRA kuhusu biashara ya kutoa mizigo Bandarini, Naanza kwa TRA unachangamoto kubwa kwenye kukokotoa malipo ya Wharfage , kunahaja gani kutumia custom value badala ya kutumia CBM kwa mizigo/ magari ya Zambia na Zimbabwe? Inaleta ukakasi Sana, mteja anakupa kazi...
  12. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

    Habarini waungwana! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza. Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
  13. dubu

    JamiiForums Tanzania TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mgomo wa Wafanyabiashara waondoka na Watumishi 3 wa TRA, DC awaripoti Makao Makuu

    Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Tabora sasa kuondolewa mkoani humo kwa madai ya kulalamikiwa na wafanyabiashara wa Soko Kuu Tabora. Wafanyabiashara hao wamefanya mgomo kutokana na madai ya mwenzao kuchukuliwa mali zake na watumishi wa TRA usiku wa kuamkia leo...
  15. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Bonanza la michezo kati ya TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo Dar, lafana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Albert Chalamila pamoja na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Bw Alphayo J. Kidata leo 01/07/2023 wameshiriki Bonanza la michezo la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo lengo likiwa kuboresha afya,mahusiano bora na kuhamasisha utoaji wa risiti za EFD
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

    Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime. TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa. Viva Tanzania!
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Agizo la Rais kwa TRA kutofungia Biashara liingie kwenye Sheria ya Fedha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni. Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ya bandari yakiendelea, TRA wamepoa, wafanyabiashara sasa tunanyanyaswa na zima moto

    Huo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara. Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hii hesabu ya makato kuhusu kodi ya TRA maana nahisi nahujumiwa

    Wakuu habari za muda huu. Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy). Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria (kupunguzwa kazini) ikanibidi na mimi niwemo kwenye orodha ya wanaopunguzwa kazini. Sheria zote...
Back
Top Bottom