Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalang’ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1.
Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao...
Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana?
Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa...
Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI.
Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo.
😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa.
Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU...
Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa.
https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo
Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania.
Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli wananchi katika maeneo tofauti tofauti Mkoani humo.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani...
Wakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale...
Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana.
Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
The Tanzania Revenue Authority (TRA) is pleased to inform the job applicants who passed the screening test and were selected for practical and oral interviews. The interviews are scheduled to take place from October 29, 2023, to November 2, 2023, with the eventual employment of successful...
Habari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua...
Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa):
Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices.
Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa.
1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA.
2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya...
Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
Wakuu habari za kazi.
Ladies and gents,
Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini.
Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi?
Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.