Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu.
Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
TRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA
Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi nikamdai mwenye fremu.
Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza...
Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji.
Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua kariakoo yao. TRA hawawezi kuhangaika na aliyelipa Kodi halali, wanashughulika na wakwepa Kodi...
Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike.
Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri.
Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI.
CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka?
Ipi I atakuwa iwe kubwa?
Cif ya gari au TRA culculator?
Hi!
Kama umri unatosha unaweza ukajipanga issue za kupata elimu (makaratasi) ya kukuwezesha kuajiriwa TRA au ofisi zingine nyeti nyeti ndani ya serikali tukufu ya JMT ill ukajenge nchi.
Ukishindwa wewe basi weka juhudi kwa watoto wako wakajenge nchi.
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo:
(1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023.
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo.
1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara.
Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI
Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote,
1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini.
2. Kodi ya mapato...
Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa.
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!
Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!
Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "
Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.