TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi

Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji Tsh. 120,000 na zitalipwa kwa awamu 4 ndani ya Mwaka

Alisema hayo wakati akiwasilisha mada ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali za Kodi kwa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu, ambapo pia alieleza Kodi hizo zimeanza mwaka huu wa fedha ulioanza Julai Mosi, 2023.

IMG_7093.jpeg

Pia soma: TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka
 
Sasa alietangaza juzi aliamka tu asubuhi akaona hebu ngoja bodaboda walipe 65k na bajaji 120k?
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi

Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji Tsh. 120,000 na zitalipwa kwa awamu 4 ndani ya Mwaka

Alisema hayo wakati akiwasilisha mada ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali za Kodi kwa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu, ambapo pia alieleza Kodi hizo zimeanza mwaka huu wa fedha ulioanza Julai Mosi, 2023.

View attachment 2714942

Pia soma: TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka
kwani ingelikuwa ni kweli kuna tatizo gani, kwanini boda boda wasilipe kodi? Kodi ni kwa kila mtu anayepata mapato. Acheni kuwadekeza wawajibike na wao ndio walalamishi kuliko binadamu yoyote yule juu ya huduma mbalimabli zinazotolewa na serikali.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi

Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji Tsh. 120,000 na zitalipwa kwa awamu 4 ndani ya Mwaka

Alisema hayo wakati akiwasilisha mada ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali za Kodi kwa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu, ambapo pia alieleza Kodi hizo zimeanza mwaka huu wa fedha ulioanza Julai Mosi, 2023.

View attachment 2714942

Pia soma: TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka
Kumbe ni za kweli ila siyo rasmi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wako kwenye kupima maji.
๐‘ด๐’‚๐’๐’Š๐’‘๐’–๐’๐’‚๐’•๐’Š๐’๐’ ๐‘ป๐’†๐’„๐’‰๐’๐’Š๐’’๐’–๐’†
 
Watagusa pote na siyo kwenye bodaboda. Siasa za Tanzania ni bodaboda.Wanajua akili za bodaboda zilivyo. Wapinzani watawachonganisha boda boda na serikali wakitozwa kodi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom