tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umewahi kumpigia kura mgombea wa chama kingine sababu uliona anafaa zaidi kuliko wa chama chako?

    Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi. Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  3. JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  4. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Green House na Shade House?

    Watalaamu, naomba utofauti wa shade house na green house, ipi ina faida kuioperate.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

    Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
  6. JamiiForums Tanzania Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

    Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu. Sasa wameanza kupiga. Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti ya kichuri na kichiri hii

    Hivi sio vyakula bali ni vichocheo vya kula nyama zaidi. KICHURI Kichuri kinatengenezwa na kutokana chakula ambacho hakijameng'enywa ndani ya tumbo la mnyama kinachanganywa na ndimu au limao, pilipili na nyongo kinapashwa kwenye moto kinachujwa na baada ya kuwa tayari kinapendeza zaidi ukila na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wanaaminika 100% wakitoa Ushahidi wao Mahakamani tofauti na Sisi Vijeba / Wazee?

    Nahitaji sababu ya Kmantiki kabisa iliyoshiba Elimu Kubwa ya Kisaikolojia na Uhalisia wa Moyo, Roho na Akili ( IQ ) ya Mtoto. Na mkinipa sababu iliyozoeleka na Wengi kuwa Watoto hawaongopi na ni wasema Kweli daima nitaikataa kwani kuna Mtoto leo Kanidanganya kuwa Baba yake ninayemdai hayupo na...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walioathirika na mafuriko Hanang ni Waathirika sio Wahanga

    Lugha adhimu ya Kiswahili, Rais Samia Suluhu Hassan akielezea tofauti ya Waathirika na Wahanga kwa kilichotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara. Amesema hayo baada ya watu wengi kutumia neno “Wahanga” wa mafuriko badala ya “Waathirika”.
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

    Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia Hapo ndio tofauti inapoanzia Azam...
  13. JamiiForums Tanzania Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya mwizi na tapeli

    Tofauti ya Mwizi na Tapeli ni nini?
  15. JamiiForums Tanzania Timu huwa zinafanyaje kucope na tofauti ya masaa kati ya nchi na nchi?

    Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
  18. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia

    Utangulizi; ----------------- Ipo Tofauti Kati ya Nguo na Mavazi.. Kwa Tafsiri Ya Kiroho, sawasawa Na Ufunuo wa Roho Mtakatifu.. NGUO--- GARMENT. MAVAZI--- VESTURE. Nguo ni ile uivaayo ukiwa katika shughuli zako za; Kijamii, Uchumi na Maendeleo.... Lakini VAZI, Ni ile uivaayo ukiwa katika...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Simba ile ile, wachezaji wale wale, michuano ndio tofauti

    KAMA bao la penalti laini ya Saido Ntibazonkiza dhidi ya Asec Mimosas lingesimama kwa dakika zote tisini si ajabu mashabiki na viongozi wa Simba wangerudi katika dunia yao ya njozi kwamba bado wana timu bora kwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Si ajabu pia wangeendelea kuota ile njozi maarufu...
  20. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Paulina Gekul na Salaah wa Silent Ocean?

    - Paulina Gekul na Salaah wa Silent ocean wote ni watu wenye nguvu na ushawishi katika jamii kwa kadiri ya kada zao za kimajukumu. - Wote ni wana CCM kindaki ndaki - Wote walijichukulia sheria mkononi kwa wale waliowatuhumu kuwafanyia makosa katika biashara zao. Salaah aliteka vijana wawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…