Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,115
Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani..

Je " watu" ni kina nani haswa?

A. MTAZAMO WA KIROHO:
Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why? Alimuumba Adam kama sketchy na kupitia sketchy hiyo ndio akamuumba Hawa.

Adam was a first draft and Hawa was the final draft.

So back to the question, " mtu" ni nani?

Mtu ni sketchy ya mwanadamu.

Ni sketchy ambayo Mungu ali iumba kwanza then aka i modify kisha akatokea mwanadamu.

Kwa mujibu wa Biblia Mungu hakumuumba mwanadamu. Alimuumba " mtu" kisha mtu huyo akampulizia pumzi ya uhai
ndio akafanyika kuwa mwanadamu.

Mwanadamu ni mtu mwenye nafsi hai..

Kwa mujibu wa mafundisho ya siri ya dini za siri, hapo mwanzo, Mwenyezi Mungu aliumba watu wengi ( both males and females" a ten of thousands of Adam and Eve like couples halafu katika hayo maelfu ya watu alio waumba ni mtu mmoja tu alikuwa peke yake ( he was a surplus) naye ni Adam so Mungu akamtwaa mtu huyo aitwae Adam na kumpulizia pumzi ya uhai kisha mtu huyo akawa mwanadamu..

Aka advance kutoka kwenye kuwa mtu hadi kuwa mwanadamu. Baada ya hapo akampiga nusu kaputi kisha akamfanyia cloning na out of him akamtengeneza kiumbe mwingine wa kufanana nae ( mwanadamu mke mwenye nafsi hai ambae aliitwa Hawa)

Adam na Hawa( wanadamu) waliwekwa kwenye bustani ya Eden na wale " watu" ambao walikuwa makumi elfu kwa idadi yao( mtu mke na mtu mume) waliendelea na maisha yao nje ya bustani ya Eden wakizaa na kuzaliana. Wakizaliwa na kufa

Ndio maana Kaini baada ya kumuua Abel alienda kujitwalia mke miongoni mwa " watu"..

Katika bustani ya Eden, Adam alifanywa kuwa superior kwa watu walio ishi nje ya bustani ya Eden na yeye mwenyewe alilijua na kulitambua hilo ndio maana alipo asi, Mwenyezi Mungu, in a bid to attack Adam's ego, anamkumbusha Adam kwamba yeye ni " mtu" tu na kwamba ametwaliwa katika "watu" kwa hiyo anamrejesha huko kwa "watu" ambako alimtwaa.

Soma kwa makini andiko hili hapa chini👇 Mwanzo 3: 19

"Kwa jasho lako utakula hadi utakapo rudi MAVUMBINI ULIPOTWALIWA kwa maana U MAVUMBI WEWE na katika MAVUMBI utarejea."

How does this sound to you? Doesnt it sound like👇

Umekutana na mwanamke malaya ambiance umempenda umemuoa na kumpa first class treatment kama mke ila unamwambia asilete miyeyusho ya kutoka nje ya ndoa. Siku hiyo unamfumania kwenye kitanda chako. Then una mchukua huyo mwanamke una mwambia " Yani wewe mwanamke ndio wakunifanyia hivi kweli? Nimekupa bata zote lakini bado umezingua? Basi nitakurudisha kwenye biashara yako ya umalaya ambako nilikutoa kwa kuwa U MALAYA WEWE na katika umalaya ndiko utakapo ishi maisha yako yote"

Dont forget that hawa " watu" wao walikuwa wanaishi na kufa. Ni Adam na Hawa tu ndio waliopewa previlege ya kuishi milele under some conditions.

Katika hao watu makumi elfu walioumbwa miongoni mwao ni mabibi na mababu zetu.. na wana exist for over seven million years ago. Mungu aliumba watu katika nyakati kuu mbili. Nyakati ya kwanza aliumba watu miaka milioni 7 iliyopita hii ikiwa na maana kuwa "watu" wameanza kuishi kwenye sayari ya dunia miaka milioni saba iliyopita.

Kundi la pili liliumbwa miaka elfu 7 iliyo pita pamoja na Adam ambae alitwaliwa katika kundi hilo na kupuliziwa pumzi ya uhai na kuwa mwanadamu. This means that wakati Adam na Hawa wanaumbwa tayari kulikuwa na mamilioni ya watu wakiishi duniani for a million of years.

Adam sio baba wa peoples wote duniani halikadhalika Hawa si mama wa peoples wote duniani.

Adam na Hawa wanaweza kuwa ancestors wa biblical ancestors na uzao wao lakini sio ancestors wa viumbe wote waishio kwenye sayari ya dunia ambao wanatembea wakiwa wame sonta kichwa angani ( wima)

Watu na binadamu ni viumbe wa aina mbili tofauti.

Somo hilo hapo juu ni refu sana. Now lets go back to our point.

WATU NI KINA NANI? ( katika maisha ya sasa)

Umewahi kusikia mtu anasema.

1. "Watu" sio wazuri jamani.

2. Huwezi kuwafurahisha " watu"
3. Ukitaka kufeli kwenye haya maisha wewe jaribu kuwafurahisha watu.

4. Watu hata uwafanyie vipi hawawezi kuridhika.

5. Watu wanakuangalia tu.

5. Watu hawapendi ufanikiwe.

6. Watu watakupenda tu ukiwa na hela ila ukiishiwa ndio utawajua watu ni kina nani?

7. Bunduki zimetengenezwa kwa ajili ya " watu"

8. And many more

Unakumbuka ile siku ya mechi ya simba na yanga iliyo ahirishwa?

Kuna mashabiki wa simba na yanga waligoma kutoka uwanjani wakitaka wapewe hela zao hadi polisi wakaja kupiga watu mabomu.

Ilikuwa inasemwa " jana kwenye mechi, (watu) waligoma kutoka wakitaka wapewe hela yao...

Mwaka 2014 kuna kademu kalikuwa form 2 kana miaka 15 kazuri kinoma noma. Siku moja tumekaa kwenye bar zile mtaani kakawa kanapita karibu na hiyo bar, basi bro mmoja hivi smart akauliza " hivi haka katoto kapo form ngapi?" Akajibiwa " form 2" then akasema " dah mwaka huu kapo form 2. Then mwakani katakuwa form 3 them 2016 form four then 2017 form 5 then 2018 form six..Kakimaliza tu form six nakatokea fasta kwa sababu katakuwa tayari kameshakuwa kamtu kazima kanajiandaa kuingia chuo.

Muhuni mmoja akamjibu " BRO WE VIPI YANI UNASUBIRI MPAKA KAMALIZE FORM SIX WAKATI "WATU" WANAKULA TOKA KAPO LA SITA TENA WATU WAZIMA KABISA WENGINE WAZEE SAWA NA BABA AKO?

Jamaa akahamaki " KWELI???!!!" Muhuni akamsititizia " watu wana kagonga kichizi wewe tu"

Jamaa kweli bana akakafuata akakatokea kakamkubalia ila kilichomkuta alikwenda ndani na ndugu zake iliwatoka zaidi ya milioni 5 vinginevyo ya babuseya ingemuhusu na toka alipotoka ndani " watu" hana hamu nao.

Ila ukweli ni kwamba " watu" walikuwa wanakala kichizi. Lakini hawakamatwi wala nini. Hata huko mitaani" watu" wanakula sasa vitoto vya shule and nothing happens to them sasa jaribu wewe sasa ndugu yangu ndio utabaki unajiuliza " MBONA NORTH NA SOUTH HUOMBANA MSAMAHA, MARA NORTH POLE MARA SOUTH POLE".

JE HAWA WATU NI KINA NANI HAWA?

ITAENDELEA
 
Nikama kusema tukuletee picha ya joto.watu wanajitolea kutoa elimu bure walizozipata kwa shida nyie mnaanza kejeli.
Kumbe ulimwengu wa roho hauonekani? Sasa sisi tutaishi vipi huko? Sawa tuchukulie tu mfano wa hilo joto ambalo haliwez kupigika picha, je! Mnaenda kukaa wapi? Hamtakula sawa na ninyi mtakua hamuonekani kama joto ila mnaishi?
 
Kumbe ulimwengu wa roho hauonekani? Sasa sisi tutaishi vipi huko? Sawa tuchukulie tu mfano wa hilo joto ambalo haliwez kupigika picha, je! Mnaenda kukaa wapi? Hamtakula sawa na ninyi mtakua hamuonekani kama joto ila mnaishi?
Unamaswali mazuri sana ambayo hayana logic ya kisayansi .ni kama unasema MUNGU HAYUPO
 
Unamaswali mazuri sana ambayo hayana logic ya kisayansi .ni kama unasema MUNGU HAYUPO
Shida za hizi mambo kila mmoja anajiamlia tu kusema chochote, ukimuuliza kwann wanasema rohoni, rohoni ndio wapi? Hawajui, rohoni ndio nini hawajui wenyewe huwa wanahisi kuna rohoni pale wanapokuwa wamemakinika katika kitu flani basi wanakuambia ni rohoni,
Haya ona sasa anakuambia kuna ulimwengu wa roho, ambao unafanana na joto, kwamba hauonekani ila upo, kwamba unaweza kuuhisi,,,,, mbona joto tunalihisi wote, why huo ulimwengu wauhisi wao tu? Yaani hawa watu nikama mtafutaji tena mchimba madini tu anaejipa imani ipo siku nitapata, nikama wanabet, wakipata sawa, wakikosa sawa, hakuna uhakika juu ya kile wanachokiita mungu,
 
Back
Top Bottom