thread

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Portugal national Team special thread

    🇵🇹 PORTUGAL NATIONAL TEAM Portugal ni moja ya mataifa yaliyobadilika sana kwenye historia ya soka duniani. Kutoka taifa lililokuwa halipewi nafasi kubwa, mpaka kuwa moja ya nguvu kubwa Ulaya na duniani 🇵🇹🔥 Leo Portugal imejaa historia ya: •Vipaji vikubwa •Magoli ya ajabu •Vilabu maarufu...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Funny texts special thread😁

  4. Fene

    JamiiForums Tanzania Deep message for young men, open the thread

    You’re a man. NO ONE is coming to save you. The pain, struggle, and disrespect, you face it ALONE. But fix your life, and suddenly EVERYONE starts caring. This thread explains WHY they weren't with you at rock bottom... Read this👇 Society celebrates winners, not the broken. While you’re...
  5. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Protection of sovereignty bill thread: will it pass or fail

    Erute South MP Jonathan Odur confronts committee chair at Munyonyo over the #ProtectionOfSovereigntyBill2026. He challenged the directive to adopt the committee report without debating the bill clause-by-clause. The joint committee passed the report anyway — 22 votes to 11. A group of...
  6. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Wekeza kwenye hisa

    Ni wakati wa kujifunza kuhusu uwekezaji katika hisa. Naam — wakati ni sasa. Si kesho, ni leo. Jifunze na uanze kuwekeza kwa minajili ya kukua kifedha. Namba zinaonyesha sekta ya fedha inaendelea kukua kila siku. Ukuaji huu si wa mapato pekee, bali pia watu wengi zaidi wanaanza kujifunza kuhusu...
  7. Rayns

    JamiiForums Tanzania Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

    Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.) Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.) Testers...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Series: From SPECIAL THREAD

    FROM. Kama wewe ni mpenzi wa Mystery, Sci-Fi, na Horror (kama uliipenda 'LOST'), basi hapa ndipo mahali pako. UTANGULIZI: Inahusu nini? FROM inatupa picha ya mji mmoja wa ajabu katikati mwa Marekani ambao unawanasa watu wote wanaopita barabarani. Ukishaingia, huwezi kutoka. Kila ukijaribu...
  9. Vien

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  10. Doto12

    JamiiForums Tanzania Songesha: Special Thread

    Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Special Thread

    Uzi wa matukio mbalimbali ya CHADEMA . Madhila wanayopitia.. Vita wanazopigana.. Mafanikio wanayopa .. Na namna wanavyomgaragaza adui kwenye kila kona.. Kila saa na kila wakati Karibuni wote! Friends and foes!
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Ateba Gautier Special Thread: The Hardest Hitter in the UFC Right Now!

    Kuzaliwa: 10 Aprili 2003 (Miaka 23) Utaifa: Cameroonian Urefu: 193Cm Kwa sasa huyu dogo anatisha sana UFC. Wanamuogopa kama ukoma maana dogo ana "Ngumi Jiwe" haswa. https://youtu.be/5jslFPnu-iw?si=EhYcPO84gWQUGE2j
  15. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania 2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

    Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe 2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu. Huu mwaka kimyaaa Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje...
  16. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Car Battle Thread: 2011 Ford Crown Victoria vs 2011 Toyota Crown

    Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
  17. uran

    JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4. Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros Group B Egypt, South...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Special thread: National geograpic best shorts

    A collection of animals, insects and other creatures photos taken by various professional photographers around the world...! Selected best shots! Wild Domestic Marine Enjoy the wonderful moments in the animal world❤❤❤📍 Credit goes to Facebook animal groups
  20. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

    Habarini wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka. Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri. Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
Back
Top Bottom