thread

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
  2. MdengestanfromCuba

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tech Gurus Special thread

    Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua inspired sana na wakubwa waliotangulia mfano kwa mbele watu kama Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli na ndege haviwezi kufika. Uzi huu ni mahususi kwa kupeana taarifa mbalimbali kuanzia kwenye...
  4. mevikki

    JamiiForums Tanzania Thread titlejamanii Naomba kuuliza nini kinasababisha mtoto kutosimama

    Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye...
  5. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Kuendelea na shughuli zao za kawaida je Watanzania wamekubaliana na Rais wao!?

    Pamoja na janga la Covid 19 kuendelea kuukumba Ulimwengu na karibu Nchi nyingi kuwafungia wananchi wao lakini hali ni tofauti kwa upande wa baadhi ya mataifa ikiwa pamoja na Tanzania. Watanzania wengi wameendelea na shughuli zao za kawaida kama wanavyoaswa na Rais wao na inaonyesha hawana...
  6. Planett

    JamiiForums Tanzania Hizi thread hua zinaniondoa kwenye mood completely, yaani jumlajumla

  7. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa dereva wa lori unaanzia kiasi gani hapa Tanzania?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikitamani kujiunga na tasnia ya udereva particularly udereva wa malori (truck driver), nilikua naomba kujulishwa mshahara wa dereva wa lori apa Tanzania. Asanteni
  8. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

    Wanabodi habari, Hawa dada zetu avatar zao ni threat katika moyo wangu, Warembo, macho yao, midomo midogo, pua ndogo, nahisi mnawaonaga, wanapendeza mnoooo, kichwa kinauma last seen yao tangu saa sita mchana kipindi hiki na hii korona. Mh!, nilizoea kuwa hata na like post zao lakini Leo moyo...
  9. teledam

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

    Wakuu habari, Inawezekana kuna wadau humu wamekuwa 'addicted' na mchina ama korokoro kama inavyoitwa katika sehemu mbalimbali. Naomba kwa anayefahamu adondoshe hapo tip jinsi gani unaweza kubashiri vizuri katika bahati nasibu hii. Asante
  10. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Jaribu kufanya haya unapotaka kujifunza programming

    Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri...
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

    Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile: 1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo 2.ulienda kuombewa kwa mchungaji 3.ulitafta mtandaon 4.alikuwa mwalimu wako darasan 5.alikuwa mpangaji mwenzio 6.alikuchumbia Wanawake karibun mtaje njia mlizotumia kuwapata wanaume...
  12. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wana (Zuchu) Vs Dodo (Ali Kiba)

    Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana... Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine bila ya kujali jina wala label aliyopo msanii husika
  13. mahadhialy

    JamiiForums Tanzania Taja nyimbo kali (song hits)

    Habari zenu wana JF, ninaomba tutaje nyimbo zinazo hits sasa hivi kitaani. Sisi nyimbo inayo hits zaidi kitaani kwetu ni Jeje of Diamond Platnumz
  14. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kati ya single maza mwenye chura na mschana mdogo nimuoe nan???

    Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!! Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!! NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
  15. Z

    JamiiForums Tanzania #afroeastalbum... Thread maalum kupata update za album , tyari nyimbo 18 zimpostiwa na kondeboy

    Msanii anaekuja kwa kasi ya moto.. Harmonize amepost list ya track zitakazokuwepo kwenye album yake. Aisee kazi ipoooooo
  16. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

    jaman naomba mnisaidie mawazo,maana ndoa yangu bado changa
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  18. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kikao cha mabaharia juu ya suala la Hamida

    1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi 2) Ndugu yetu aliyepata mkasa huu tutamtafutia wanawake watano wazuri zaidi kisha tutamuozesha kwa gharama...
  19. roselina john

    JamiiForums Tanzania Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

    Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo But some of them have an interest, Bolingo 1.Nzele- Madilu 2.Bandeko- Madulu 3.Ton Ton -Madilu 4.Sydiegi-Madilu 5.Associe - Fally Pupa 6.Faulta de Jon -Koffi 7.Papaa- Ngwasuma 8.Loi- Koffi I real like Congo Music
  20. mni

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kwa mawazo

    Asante
Back
Top Bottom