thread

  1. M

    JamiiForums Tanzania Japan uses cars special thread

    Habari Pasipob kupoteza muda naomba niende kwenye mada Moja kwa Moja Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kuposti magari used Toka Japan na Bei zake yakiwa bila Kodi lkn pia yakiwa yamejumuishwa Kodi na ni Kodi zipi na mtu anapaswa kulipa Kwa awamu ngapi na kutakuwa na full details za kila GARI...
  2. JMF

    JamiiForums Tanzania Mazda CX 5 special thread

    Hii hapa iko na mtiririko mzuri na uandishi uliokaa sawa Kama kawaida, nimeamua kufungua uzi huu maalum kwa ajili ya Mazda CX5 kama nilivyofanya kwa Subaru Forester na magari mengine. Lengo ni tukutane hapa tukishirikiana uzoefu, ushauri, changamoto na mbinu mbalimbali za kuitunza na...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna nadharia yoyote inayothibitisha uwepo wa ANANNAKI? Anannaki ni nini?

    UTANGULIZI: Anunaki (ANUNNAKI) ni jina linalotokana na maandiko ya kale ya Sumeria, Akkadia, Ashuru na Babeli (eneo la Mesopotamia ya kale—leo ni Iraq). Hawa Anunaki walikuwa miungu katika imani za watu wa maeneo hayo. Kuna maelezo mbalimbali kuhusu wao, lakini kwa ujumla, Anunaki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TOYOTA HARRIER ALL MODELS FROM JAPAN SPECIAL THREAD

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kutangaza magari ya Toyota harrier models zote huku nikijunuisha na gharama zote kama vile Kodi za tra nk Hii itamrahisishia mtu anayetaka kununua gari aina ya Toyota harrier aweze kuzijua gari hizi Vizur lkn pia ajue ni kiasi Gani kinahitajika ili aweze...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    Habari wakuu… Michuano ya Kombe la Vilabu la Dunia imewadia, ambapo vilabu 32 kutoka mabara tofauti vitapambana kumsaka bingwa kuanzia Juni 14 mpaka Julai 13 nchini Marekani. Hii ni format mpya ambapo itaanza kutumika mwaka huu na michuano hii itakuwa inafanyika kila baada ya miaka minne...
  7. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania Mashine za tofali thread!

    Mashine za kisasa za kufyatulia tofali aina Mbali Mbali na size tofauti zinapatikana 0770446052 Location Mwenge
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania BABY NAMES NA MAANA YAKE: Tafuta jina la mwanao au share jina lolote zuri

    BIBLICAL: Aaron - Exalted, strong; brother of Moses in the Bible. Bethany - House of figs; village where Jesus raised Lazarus. Caleb - Faithful, bold; a spy sent by Moses to Canaan. Chloe - Blooming, fertility; mentioned in the New Testament. Ruth - Companion, friend; a loyal woman in the...
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea baada ya kusoma thread hii.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄 Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Appreciation thread kwa Swahili AI na Midekoo

    Mabaharia wenzangu ndio wanaelewa kazi kubwa wanayofanya hawa jamaa katika uzi wetu ule pendwa🤣 Shukrani wakuu Swahili AI Mideko
  11. Viol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya. Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na...
  12. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stress kali special thread

    Wasalaam wana jamvi. Nimeona nianzishe uzi huu kwa ajili ya wote tunaopitia STRESS KALI aidha kwenye mahusiano, familia, biashara, afya, na kadhalika Watu wengi wakiwa na stress huenda bar na kutafuta barmaid wanaanza kulewa na zikipanda wanaanza kuropoka stress zao ambazo pengine ilibidi ziwe...
  13. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 Thread🧵

    Uzi huu mahsusi kushauriana ,Michongo, Connection za kazi na kutiana moyo. 👉Familiar Hakikisha kila unachoingiza weka akiba ya %10. 👉Dhama zetu maarifa ni lazima Hivyo Hakikisha kila siku angalau umesoma page 2 za kitabu. 👉Huwezi kutajirika kwa kunyooka 100%, hicho kitu hakipo, lazima ucheze...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sunnah za Muhammad(s.a.w)

    Assalam alaykum enyi watumwa wa Allah. Assalam alaykum enyi wakereketwa wa mtume Muhammad (s.a.w). ALLAHUMA SWALII A'LAA MUHAMMAD YARABBI SWALII A'LAYHI WASALIM Hakikaka mtume ndo mbora wa viumbe. Hakika mbora wa viumbe ndiye mbora wa elimu. Hakika mbora elimu ndiye mbora wa matendo. Hakuna...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania KOMPA,KIZOMBA,ZOUK SONGS SPECIAL THREAD

    Kompa X Kizomba X Zouk special thread Ankò- Dena Babe ft.D-Perfect
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  17. Mi mi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sabato njema wapendwa| sda songs thread

    Napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sabato. Sabato ikawe njema kwenu nyote. Sabato yako ikawe njema kupitia uinjilishaji huu kupitia nyimbo Uzi huu utahusisha nyimbo za SDA pekee, karibuni wapendwa.
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

    NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL). Timu za NBA zimegawanyika mara mbili katika Eastern Conference na Western Conference. Katika msimu wa...
  19. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka ile thread ya kumalizia upako?

    Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe. Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako. Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore Special thread

    Nimehamasika na maajabu anayofanya huyu rais kijana nchini mwake tena kwa kipindi kifupi sana na kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani.. Ni wazi si wazungu tuu bali hata marais wenzake wa Afrika wanamuonea wivu na kijicho Kumuenzi nimeamua kuuweka uzi huu maalum kwa ajili yake ukawe Kama...
Back
Top Bottom