Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,203
- 9,646
Habari Developers,
Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇
Include:
Testers:
Jaribu kuangalia projects/apps za wengine na toa feedback ya maana ili kutiana moyo katika moja na mbili...!
#Mchango wako Msaada kwa mwingine...!
Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇
Include:
- Jina la app/project
- Link ya ku-download au ku-access
- Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.)
- Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.)
Jaribu kuangalia projects/apps za wengine na toa feedback ya maana ili kutiana moyo katika moja na mbili...!
#Mchango wako Msaada kwa mwingine...!