RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 393
- 430
Ni wakati wa kujifunza kuhusu uwekezaji katika hisa.
Naam — wakati ni sasa. Si kesho, ni leo.
Jifunze na uanze kuwekeza kwa minajili ya kukua kifedha.
Namba zinaonyesha sekta ya fedha inaendelea kukua kila siku. Ukuaji huu si wa mapato pekee, bali pia watu wengi zaidi wanaanza kujifunza kuhusu pesa, uwekezaji, na kuingia moja kwa moja kwenye masoko ya fedha. Hii inaonyesha wazi kwamba miaka ijayo, elimu ya kifedha na umiliki wa assets utaongezeka zaidi.
Hizi stocks tunazoziona leo zinauzwa kwa bei ndogo, kuna siku hisa moja inaweza kuwa na thamani kubwa kuliko nyumba.
Unazijua hisa za Berkshire Hathaway kule Marekani? Ziliwahi kuuzwa chini ya dola 20 mwanzoni mwa miaka ya 1960. Leo Class A shares zimewahi kuvuka zaidi ya USD 800,000 kwa share moja mwaka 2026. Hiyo ni thamani ya nyumba katika baadhi ya maeneo ya Marekani.
Watu wengi kutoka nchi zilizoendelea wanawekeza kwenye stocks:
Marekani: zaidi ya 55% ya watu wamewekeza kwenye stock market
Uingereza: takribani 41% wamewahi kumiliki stocks/shares
Japan: takribani 15%–20% ya households hushiriki kwenye stocks
China: zaidi ya 200 million investors wamesajiliwa (idadi kubwa duniani)
Germany: takribani 14% ya watu huwekeza kwenye stocks
India: zaidi ya 11% ya population wana demat/investment accounts (idadi inaongezeka haraka)
South Africa: inakadiriwa 10%+ hushiriki moja kwa moja au kupitia pension funds
France: takribani 15% hushiriki kwenye equities
Denmark: moja ya nchi zenye participation kubwa Ulaya, zaidi ya 30%
UAE: participation inaongezeka haraka kupitia retail investors
Iceland: participation ni kubwa kutokana na small but financially active population
Russia: participation iliongezeka sana baada ya 2020 kupitia retail accounts
Na Tanzania je?
Dar es Salaam Stock Exchange bado ina idadi ndogo ya wawekezaji ukilinganisha na population ya zaidi ya milioni 67. Idadi ya CDS accounts/investors ni chini ya 1% ya population, jambo linalomaanisha bado kuna nafasi kubwa sana ya ukuaji.
Tunapaswa kuanza kuwekeza kwenye hisa.
Mbali na faida kama:
Capital gains (ongezeko la thamani ya hisa)
Dividends (mgao wa faida)
Passive income
Kulinda fedha dhidi ya inflation
Stocks pia zinakupa nafasi ya kumiliki sehemu ya makampuni makubwa unayotumia huduma au bidhaa zake kila siku.
Ukiona watu wanatumia kampuni, fikiria pia kuwa mmiliki wake.
Jiunge na Channel yangu ili kukifunza zaidi, bonyeza hapa 👇
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
RMK,
Independent Stock Analyst,
WhatsApp: +255 737 450 640