Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 8,615 Reaction score 7,344 Jun 1, 2026 #1 Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon. Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa mpaka chumbani kwao bila huruma yoyote!!
Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon. Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa mpaka chumbani kwao bila huruma yoyote!!
M muhamad mt 77 Member Joined May 10, 2026 Posts 89 Reaction score 120 Jun 2, 2026 #2 Ewaaaa nlisubiri sana taarifa yako mkuu