Hakuna haja ya Msajili wa vyama siasa tena

Hakuna haja ya Msajili wa vyama siasa tena

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,613
Reaction score
15,017
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi

Awe sheria sio viongozi wajinga jinga. Mbona nchi nyingine hawana huu ujinga?
 
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi
awe sheria sio viongozi wajinga jinga. Mbona nchi nyingine hawana huu ujinga?
Katika taasisi ya kwanza inayofaa kuangaziwa juu ya mauaji,na vurugu za moo29 2025 hii ni taasisi ya kwaza iliyohusika katika kuchochea yaliyotokea na kupandikiza chuki ndani ya taifa hili na ikosefu wa usawa wala haki za kufanya shughuli za kisiasa huku upendeleo ukielekezwa ccm na vyama pandikizi vys ccm.
 
Back
Top Bottom