Nairobi imeamka na stress nyingine tena after transport operators announcing kwamba strike itaendelea kesho because talks na serikali zimegongana mbaya. From matatus, boda bodas, Uber mpaka cargo trucks wengi wameamua “hakuna kazi mpaka mafuta ishuke.”
Wananchi ndio wamebeba mzigo mkubwa. Leo morning, watu walionekana walking kutoka Roysambu hadi CBD, wengine kutoka Pipeline hadi Industrial Area juu hakuna fare ama gari kabisa. Thika Road, Mombasa Road na Waiyaki Way zilikuwa chaos tupu. Wafanyakazi walichelewa job, students wakakwama, na biashara nyingi zikapoteza customers.
Transport operators wanasema fuel prices zimefika kiwango ya kuumiza common mwananchi. Nairobi super petrol sasa ni KSh 214.25 while diesel imefika KSh 242.92 per litre after latest EPRA hike. Wanasema biashara haiwezi survive na bei kama hizo.
“Tunabebeshwa mzigo kila mwezi while viongozi wako comfortable,” mmoja wa drivers alisema during protests.
The alliance is demanding serikali reverse fuel prices immediately, standardize petroleum products na pia Energy CS afutwe kazi. Serikali imejaribu kufanya emergency talks lakini mpaka sasa hakuna agreement officially confirmed. Operators sasa wanasema strike ni open-ended meaning inaweza continue mpaka serikali itoe “real solution.”
Meanwhile, Kenya Railways imeongeza commuter trains na kupunguza fares by 10%, lakini stations zimejaa kupita kiasi. Watu wengine wamekuwa wakining’inia kwa milango trying to get home.
Online, Kenyans wameanza kuuliza: “Hii Kenya inaenda wapi?” Others say maisha ya kawaida sasa imekuwa luxury. From unga, rent, electricity mpaka transport kila kitu inapanda except salaries.
Kesho inaweza kuwa another painful day for the common mwananchi.