Tatizo la kupoteza erection baada ya kuvaa condom

Aug 7, 2020
20
40
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
 
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
Tatizo hilo lipo hasa kama mweza wako sio romantic na attractive, ila usilazishe mwili likigoma achana nalo ijipe mda, ukiendelea kulazimisha utakuja ufie kifuani cha demu wako......
 
Back
Top Bottom