Nini kinaendelea Airtel tatizo la network?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,058
40,721
Je, Airtel mmefikia wapi kutatua hilo tatizo la voice call na sms kugoma kwa asilimia kubwa? Yaani tunaishi kwa network ya kubahatisha, why?
 
Hukusikia juzi wameuza minara? Matokeo ndo hayo
Hii kama watajipanga vizuri, mazingira yao kiushindani yatakuwa mazuri sana. Maana mnununzi wa minara mojawapo ya target zake ni kupanua network ili iwafikie wengi na iwe bora na kupendwa na wengi.

Rejea vodacom na Helios Fowers Tanzania (HTT) japo wamefanya mtandao wao kuwa wa gharama ila network yao ipo vizuri sana kwa wateja wake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni kubwa kwa mwezi sasa,nimenunua simu nyingine nikiamini kuwa simu ni mbovu,lakini Hadi hii mpya line ya Airtel inasoma kwa machare but Airtel ndo mtandao wangu pendwa
 
Tatizo hii line ni ya biashara, siwezi tu kuibadilisha ghafla ghafla nitapoteza business mno!!! Nifanyeje sasa??!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom