tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha kali za Instagram na Facebook ni tatizo kwa vijana wa leo

    Utandawazi umekuwa mkubwa sana. Vijana wanapenda kuwa inspired na vijana wenzao ambao kimuoneokano na picha nzuri za Photoshop wanazo-post mtandaoni na kuonyesha mafanikio fake yanavyo waharibu vijana wengine. Na kuhisi kama vile kila anaepost picha kali Instagram au Facebook basi amefanikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
  3. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo siyo vijana kujiajri

    UTANGULIZI Vijana wengi zaidi ya laki moja toka mwaka 2015 wamemaliza vyuo vikuu na vyuo vya Kati ngazi ya shahada, stashahada na astashahada katika fani tofauti tofauti ikiwemo ualimu, ( wa sayansi na Sanaa), utawala wa umma na sayansi ya siasa, utalii, geografia na mazingira, udaktari...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu za tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake Tanzania

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati ya kutuma na kutolea nini tatizo?

    Habarini wakuu, Baada ya hii tozo mpya kwenye mitandao ya simu matarajio yangu wale wanawake wa tuma na ya kutolea watawahi kuchakata mbinu mpya ya kupata pesa ila naona kimya mpaka sasa. Tu-assume mmeshindwa kubuni njia mpya au bado mpo katika mchakato? Nawasilisha
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuanzishe Benki ya vijana kupunguza tatizo la ajira kwa vijana

    Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya arija kwa vijana. Mara nyingi wataalamu mbalimbali wametoa angalizo juu ya ongezoko la vijana wasio na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ubinafsi ndio chanzo cha tatizo la Ajira

    Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Rejea kichwa cha habari hapo juu,hili tatizo la kuishiwa damu lilinianza 2017 mwanzon kabisa hilivofika mwez wa sita hali ikawa mbaya sana nikaenda hospital nikapimwa wingi wa damu na vipimo vilionesha damu ipo g/dl 2.1 nikapew kitanda nikaongezewa damu nyingine nilikaa kam siku tatu...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo liko kwa chini lakini juu naona liko sawa

  11. G

    JamiiForums Tanzania Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
  12. JamiiForums Tanzania CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"

    Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi. Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  14. JamiiForums Tanzania (Mshikamano) Penye tatizo Kuna fursa Ipo.

    Habari watanzania pole na makodi tunayobebeshwa. Tunaweka mlio kwani tukiweka si za kwetu mbona nyie mnaenda kuvinjari na akina polish kwa Kodi zetu. Nisiwachoshe baada ya opener ya Uzi wetu direct kwa lengo. Hapa chini nimeweka gharama ya kutuma hela na kuitoa ikiwemo na mshikamano...
  15. JamiiForums Tanzania Nakupenda sana baby wangu ila tatizo tozo

    Rahaziz mkalia nyongo
  16. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la tatizo la ajira

    Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone). Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Aina za Presha ya Kushuka na Sababu ya tatizo hilo

    AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa. 1. Postural or orthostatic hypotension (OH): Ni aina ya kushuka kwa presha ambayo hutokea mara baada ya mtu kusimama haraka. Aina hii hutegemea umri wa mtu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Nimeagiza mzigo AliExpress umefika bongo tangu July 1 ila kwenye tracking wananiambia delivery failed

  19. L

    JamiiForums Tanzania Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

    SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…