Tatizo la ku access instagram na twitter

kjoo255

New Member
Apr 19, 2021
3
0
Habari ndugu zangu,

Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN.

Naombeni msaada wa kutatua changamoto hii kama naweza kutumia mitandao hiyo bila VPN coz mitandao mingine wala hata haisumbui.
 
Mbona hata mimi Twitter haifunguki bila kuwasha vpn lakini app zingine zote hata Instagram hazina noma zinapoga mzigo kama kawa ila Twitter tu nimefanya update lakini wapi naombeni msaada wajameni
 
Mbona hata mimi Twitter haifunguki bila kuwasha vpn lakini app zingine zote hata Instagram hazina noma zinapoga mzigo kama kawa ila Twitter tu nimefanya update lakini wapi naombeni msaada wajameni
Sasa mimi mpaka instagram....ina muda na muda kufanya kazi na tatizo la VPN inafanya mtandao unakuwa chiniiiii!
 
Back
Top Bottom