Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Iwe katika mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakipelekeshwa na wanawake zao na wasiongee kitu uwe na hela usiwe na hela.
Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine wanaenda mbali zaidi hata mama yako anamdharau na ndugu zako unaona kabisa hayupo sahihi ila unaogopa kuongea.
Shida ni nini?
Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine wanaenda mbali zaidi hata mama yako anamdharau na ndugu zako unaona kabisa hayupo sahihi ila unaogopa kuongea.
Shida ni nini?