tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la machinga litatuliwe kwa hekima sio nguvu

    Naona tuna tumia nguvu kutatua tatizo tulilo lisababisha wenyewe. Sikuzote tunasema vijana wajiajiri, tulitegemea watajiajiri wapi? Njia rahisi ya kutatua tatizo hili, kwanza nikuwatambua machinga, tuwape nafasi wachague viongozi, wajiorodheshe na tuwape vitambulisho. Tuwaruhusu wachague eneo...
  2. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo kubwa katika Elimu yetu ni Elimu ya Msingi na Awali

    Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu yetu imepitwa na wakati na inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana. Kwa historia elimu yetu...
  4. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Machinga, Tulikosea, Tunakosea, Tutaendelea kukosea!

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
  5. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu haoneshi hisia tukifanya mapenzi

    Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa. Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi nifanye nini ili nimfanye asikie naombeni ushauri jamani🙏🙏🙏
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

    Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo. Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa, tatizo kubwa ni wakuu wa Wilaya na mikoa

    Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili. Kwa bahati nzuri sana kabla ya kuikacha CCM na kuamua kubaki kufundisha kunoa vijana,nimewahi kua...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - tatizo la vipele visivyo washa kifuani na mgongoni

    Ndugu habarini. Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele haviwashi na havina maumivu yoyote, nimefika hospital tofauti tofauti zaidi ya 5, lakini dawa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunao akina 'Chama na Miquissone' wengi tatizo hatuwekezi kwenye michezo

    Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya Afrika AL Ahly ambao wamenunuliwa kwa mabilioni ya fedha inatukumbusha umuhimu wa kuwaanda wachezaji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

    Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku! Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi. Shukrani, nawasilisha.
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Siro ni tatizo?

    IGP Siro ni tatizo? Huyu IGP watu wanalamamika wanabambikiwa kesi na polisi yupo kimya, huyu IGP Rais analalamika watu wanabambikiwa kesi yeye yupo kimya, sasa anafanya kitu gani? Kama mkuu wa nchi analalamika zaidi ya mara 1 kua kwenye jeshi la polisi kuna tatizo kubwa yeye anachukua kawaida...
  13. MHP

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  16. msovero

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amepatwa na nini?

    Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni msongo wa mawazo 'depression'? Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
  18. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Yanga kuna tatizo

    Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi...
  19. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  20. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

    Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
Back
Top Bottom