Habari wana JF,
Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo, gharama na malipo ambayo inaonekana hakuna wa kuhoji uhalali wake au umuhimu wake.
Kuachilia mbali kuwa...
Hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima nchini imekuwa ikilalamikiwa kwa takribani miezi minne (4) kuanzia mwezi Agosti mwaka 2022 tangu kuanza kutumika kwa mfumo wa ruzuku kwenye mbolea. Serikali ilitangaza uamuzi wa kutoa ruzuku kwenye mbolea na pembejeo kwa wakulima kufuatiwa na msukumo wa...
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu.
Hawajui kula kiafya?
Wanaumwa?
Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya?
Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu.
Wakuu vipi au...
Sio kwetu huku hata tuongezewe matozo, makodi na masababu ila tutaishia kumudu tukilalamika moyoni na kumuwachia mungu.
Kwa sasa hakuna penye unafuhuu kuanzia kile kilicho kuwa kinaliwa na maskini nacho kinaonekana kuwa sawa bei moja na kinacho liwa na matajiri au wanaomudu.
Vipato vyetu na...
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana.
Ni...
Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake.
Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa.
Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe...
Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani.
Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha?
Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa.
Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote.
Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi?
Mbona mmepoa sana wakati huu?
Washauri wengi ikiwemo wazazi wamekuwa wakitushauri kuwa watu wasiri. Nikimaanisha tusipende kumwambia mtu mipango yetu.
Sa nyingine ni pale tu ukishamwambia mtu mipango yako ndio inavurugika.
Hii inatokana na nini ? na nini kifanyike?
Inatokana na kumwamini mtu pia kutokujua kuwa anaumia sana...
Kwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
Je, ni ipi tiba?
Shukrani.
Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa.
Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Wakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama.
Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi...
Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume.
Nlivyokuja kuongea naye...
12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati.
Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya.
Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini.
Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick.
Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500.
Haohao...
Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu.
Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za kiislamu...
More than 500 protesters, including 69 children, have been killed, according to the Human Rights...
Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao.
Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai.
Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.