DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,883
- 45,242
Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa.
Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama.
Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili ni mtunzaji mzuri wa rasilimali na ndoto yangu nilitamani kuwa Mwalimu Mfano wa Mwalimu Nyerere.
Lakini kilichonikwamisha ni ubinafsi wa familia zetu za watu weusi, roho mbaya fitina na majungu niseme tu hapa Tanzania au Africa umasikini chanzo chake ni ubinafsi kama kila mtu akipambana kumuwezesha mwenzake
na kumfanya kuwa na fikra au huru basi umasikini unapungua kwa kasi kubwa.
Africa = cursed continent.