I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,734
- 10,039
Wakuu, salam kwenu
Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder.
Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri.
Nilijaribu kuchunguza nyaya ninazozitumia hazikuwa na shida kwani ndizo hizo hizo zilitumika jana na hakukuwa na shida. Nilijaribu pia kudisconnect kila kitu bado nilifail.
Niliwapigia MULTICHOICE TZ nikawaeleza shida yangu. Wao pia waliniuliza maswali kadhaa na hata kunielekeza kufanya deep settings na hakukuwa na mabadiliko ya sauti.
Pia nilifanya zaidi hata kwa kufactor reset ila bila-bila.
Jamani nahitaji msaada wenu kwa kweli.
N.B: shida ni sauti tu; video iko safi.
~ DSTV model 5S
(mfano wa system yake kwa nyuma)
~: Natumia nyaya za AV.
Nyaya hizo hizo ukizitoa kwenye decoder ukaweka kwenye device nyingine mfano; deki. Zinafanya kazi vizuri tu.