Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua.
Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki.
Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
Historia ni nini?
- Historia ni somo lihusulo mambo/matukio yaliyopita[ kale ], yaliyopo na yajayo.
Kabla hatujawatupia mizigo yote ya lawama Chama cha Mapinduzi [CCM] kwa huu umasikini wa taifa hili, tuji ulize maswali haya kwanza.
Maswali
1. Kwanini mtu mweusi duniani kote ana dharaulika...
Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
Wakuu, baada ya mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho sasa ni dhahiri kuwa timu ya Yanga wana tatizo la mipira ya kutenga. Kumekuwa na matukio mfululizo ya kufungwa mabao yanayotokana na mipira hiyo. Hata mechi ya jana dhidi ya Prisons mapungufu hayo yameonekana. Kocha Prof Nabi ana kazi kubwa ya...
Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake.
Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake.
Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
Hatimaye yametimia Rais Samia amekiri kuwa kuna tatizo kubwa la viongozi. Wananchi tuliowengi tulilisemea hili lakini watawala wakatupuuza. Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema ili nchi yeyote iendelee lazima iwe na;
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora
Tanzania ina watu mil. 60...
Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa)
Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda.
Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta...
MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo.
Charger yangu details zake ni hizi
Samsung - Adaptive Fast charging
Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A
OUTPUT...
ZINGATIA:
Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni.
Haya tuangalie njia hizi.....
1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
Wasalaam ,
Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.
Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8...
Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana.
Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)...
📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani mtanisaidia wataalamu wa kiswahili.. nyama ambazo wanapika sijui wanaokotaga wapi?
Maana nyama kilo sio...
NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala.
Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.