Reading without reflection is like eating without digestion.
Wanaojiita wasomi wengi ni tatizo, nilimaliza DUCE mwaka 2016 nikaanza kutembea na cheti kudhalilika kuomba kazi, nikalaumu sana serikali kwa kusitisha ajira, kimsingi mikaa nikajiuliza hivi kweli kila atakae hitimu kwa wingi huu wa vyuo serikali itamuajiri nikaona haiwezekani, nikaona serikali ni kundi sogo sana la watu kwenye watu wengi hivyo hawawezi maliza matatizo ya wengi na sisi raia ni wengi ndio tunauwezo wa kumalizia matatizo
Nikakumbuka msemo wa rais Yule wa Marekani Alie sema ask not what your government will do for you but ask yourself what you will do for your government. Nokarudi kwenye kozi zangu na vitabu vyangu nikajiuliza hivi katika nilivobisoma na kujifunza. Toka shule msingi Hadi chuo kikuu tena kama mwalimu wa uchumi na history
Sina Cha kutumia kikanikwamua, nikaona ni zile shughuli za ziada pale shule ya msingi na sekondari, japo ilikuwa silend. Kazi za nje na zamu wakati wa likizo. Nikatoka Dar nikarudi Mtwara,
Nikapambana na boom lile nilitumza kidogo nikanunua plastic 100 zilizokawekwa rangi za kupaka majumbani nikaona kwetu Kuna tatizo la sehemu za kuhifadhia maji, kweli nikauza plastic 100 nilimpoza mkandarasi mmoja pale Newala, kila Moja 2000tshs nikaenda uza kwa elfu 8000tshs zote.
Leo ninamtaji mkubwa nimejenga kigamboni nyumba mzuri ya kifahari, Nina mashamba ya mikorosho, na hivi ninapoandika nipo kwenye gari napita Masasi naenda kuvuna mahindi Tunduru, jamii forums mulipo lalamika kuhusu kupanda bei za vyakula na Mimi nikaona ni fursa kulima, nawashukuru na ninawaomba muendelee kulalamika ili nizione fursa
Cheti yangu DUCE sijachukua, Sina mpango wa kukichukua, maana mnachotafuta nyinyi wakati wa ajira na baada ya ajira tayari ninacho, na tayari Nina vijana wa nne ninafanya nao kazi ili na wao wajikwamue.
Nashukuru serikali kwa kujenga miundombinu ya elimu na kunifanya Mimi kuwa conscious. When people complaining opportunity comes